Kanisa La Waadventista Wa Sabato Mpiji Beach

Kanisa La Waadventista Wa Sabato  Mpiji Beach Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kanisa La Waadventista Wa Sabato Mpiji Beach, Seventh Day Adventist Church, Box 33367, Dar es Salaam.

13/7/2024Ibada ya Shule ya  Sabato tulibarikiwa na huduma nzuri toka kwa vijana wa dogo umri wa miaka 10 had 12.
14/07/2024

13/7/2024
Ibada ya Shule ya Sabato tulibarikiwa na huduma nzuri toka kwa vijana wa dogo umri wa miaka 10 had 12.

05/07/2024
Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mpiji Beach lilipangwa Rasmi tarehe 5.2.2022. Ibada hii maalum iliongozwa na Mch.Peter ...
05/07/2024

Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mpiji Beach lilipangwa Rasmi tarehe 5.2.2022. Ibada hii maalum iliongozwa na Mch.Peter Mganda kutoka Konferensi ya Mashariki na Kati mwa Tanzania (ECT) pichani wa pili kushoto(walioketi) pamoja nae, wa pili kulia(walioketi) ni Mchungaji Emmanuel Mnkeni aliyekua Mchungaji wa mtaa wa Bunju, na katikakati yao ni Mchungaji Herbert Nziku kutoka Konfrensi ya Kusini Mashariki mwa Tanzania (STUM).

Waliosimama ni Washiri watatu wa awali waliounda kanisa jipya, kutoka kulia (waliosimama) ni Angela Adam, Amos Mayunga pamoja na Rehema Julius.

Address

Box 33367
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa La Waadventista Wa Sabato Mpiji Beach posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share