17/03/2026
Hakuna burudani inayozidi uhuru wa kumsifu Muumba wetu. Tunapokuja mbele zake kwa kuimba, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto. Hebu piga kelele ya sifa hapo ulipo!
Tukutane AFLEWO tukiwa na sauti za shangwe na mioyo iliyopondeka. Mungu anatafuta waabudu wa kweli. 👣