Prophet Paul N. Bendera - The Revelation Church of Tanzania

Prophet Paul N. Bendera - The Revelation Church of Tanzania Prophet anointed by God, Revelation Church of Tanzania, Sinza Madukani, Dar-es-salaam, Tanzania.

13/06/2013

Mungu awabariki sana!

21/03/2013

Nitangulize shukrani. Nisaidie kuokoa jamii hii. Waambie kile ninachoweza kufanya ili nao wapate baraka na neema ya Mungu. Amen.

17/02/2013

KARIBU katika Ibada ya leo Jumapili. Usipitwe na baraka na miujiza kutoka kwa Baba.

08/02/2013

Umewahi kuitazama hii? Mwambie na mwenzako. Ninafanya mipango niweke video clip zote zenye ushuhuda ili kila mtu apate kuona.

http://youtu.be/_xY73zPH5dM

08/02/2013

Upo kwenye maombi yangu usiku wa leo. Usipate shida, huyu Mungu anakwenda kukuinua mtoto wangu. Kesho, nitakuwepo tena kwa ajili ya kukuhudumia. Njoo kwangu mwanangu.

04/02/2013

Mwanangu, utaalika marafiki zako wangapi leo kutembelea ukurasa huu ili wasipitwe na mkono wa kinabii? Waambie wenzako, ili nao wabarikiwe.

04/02/2013

Nimebarikiwa na idadi kubwa ya watu wanaomiminika nyumbani kwa BWANA kila siku, kushuhudia miujiza na matendo makuu ya BWANA. Kuwa mmoja wapo, usichelewe. Karibu, nipo kwa ajili yako, nikusaidie, kila siku kuanzia saa tisa alasiri, na Jumapili kuanzia saa nne asubuhi.

04/02/2013

Waambie wenzako kwamba umemuona nabii wa kweli. Njoo kwangu, thibitisha maneno yangu, ubarikiwe.

04/02/2013

Pata mkono wa kinabii kwa kila jambo ulifanyalo. Nakuhakikishia mafanikio ya 100%.

04/02/2013

K**a umewahi kusikia kuhusu mimi, usingepoteza hata sekunde moja ya maisha yako. Uliza, uambiwe. Chukua hatua sasa, nitafute, nikusaidie.

04/02/2013

Mtoto wa Mungu, orodhesha mambo yote yanayokukwamisha usisonge mbele katika maisha yako. Kisha nitumie message kwenye Inbox, nikusaidie.

04/02/2013

Kutokuwa na fedha, ni dhambi. Umaskini ni dhambi.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255755432605

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Paul N. Bendera - The Revelation Church of Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Prophet Paul N. Bendera - The Revelation Church of Tanzania:

Share