Vijana KKKT Magogoni

Vijana KKKT Magogoni Umoja wa Vijana KKKT DMP Usharika wa Magogoni

Mkesha Mkesha Ijumaa hii 11/2/2022.....Usipange kukosa
06/02/2022

Mkesha Mkesha Ijumaa hii 11/2/2022.....Usipange kukosa

Karibu kwenye Semina ya Neno la Mungu inaanza Leo hapa Usharika wa Magogoni. Karibuni Nyote. Tutakuwa na Mtumishi wa Mun...
20/09/2020

Karibu kwenye Semina ya Neno la Mungu inaanza Leo hapa Usharika wa Magogoni. Karibuni Nyote. Tutakuwa na Mtumishi wa Mungu Rev. Dr. Kopwe.

Kuelekea Sikukuu ya Vijana Tarehe 12/7/2020. K**a familia tutapendeza kwa vazi hilo la Kitenge weka oda yako mapema. Was...
24/06/2020

Kuelekea Sikukuu ya Vijana Tarehe 12/7/2020. K**a familia tutapendeza kwa vazi hilo la Kitenge weka oda yako mapema. Wasiliana na viongozi kwa namba hizi.
0653808066
0756726629

Matukio ya siku ya Mtoko wa Vijana Choose Life Youth Festivity
09/10/2019

Matukio ya siku ya Mtoko wa Vijana
Choose Life Youth Festivity

Tshirt kwa ajili ya Mtoko wa kwenda Ras Kiroko kwa ajili ya Choose life Youth Festivity zipo weka oda yako mapema0719814...
03/09/2019

Tshirt kwa ajili ya Mtoko wa kwenda Ras Kiroko kwa ajili ya Choose life Youth Festivity zipo weka oda yako mapema
0719814688

Siyo yakukosa kabisa hii ni 28 sept
31/07/2019

Siyo yakukosa kabisa hii ni 28 sept

I'm on Instagram as . Install the app to follow my photos and videos.
22/07/2019

I'm on Instagram as . Install the app to follow my photos and videos.

Create an account or log in to Instagram - A simple, fun & creative way to capture, edit & share photos, videos & messages with friends & family.

Shalom shalom! 28/09/2019 kutakuwa na tour ya siku moja  kwenda RAS KIROKO Ili kujifunza baadhi ya mambo ambayo yatakusa...
17/07/2019

Shalom shalom!
28/09/2019 kutakuwa na tour ya siku moja kwenda RAS KIROKO Ili kujifunza baadhi ya mambo ambayo yatakusaidia wewe binafsi na kanisa

Tour hii itawabeba vijana 100 wa kwanza baada ya hapo uandikishaji utafungwa na hatutapokea tena jina La Kijana yoyote.

Gharama za kwenda huko ni 10,000/= kwa kila Kijana.
Ili kujiandikisha tuma jina lako kamili kwenye namba hizo hapo na ukitoa mchango mapema itakuwa vyema ili kujihakikishia nafasi ya kwenda
Kwa Maelezo zaidi piga simu 0767190369

Matukio Mbalimbali katika Sikukuu ya Vijana KKKT Usharika wa Magogoni
15/07/2019

Matukio Mbalimbali katika Sikukuu ya Vijana KKKT Usharika wa Magogoni

Usipange kukosa ni Ijumaa hii
03/06/2019

Usipange kukosa ni Ijumaa hii

04/02/2019

Address

P. O. Box 36004 Kigamboni
Dar Es Salaam

Telephone

+255719814688

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vijana KKKT Magogoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share