15/03/2022
"MUNGU AKIKUJALIA NEEMA YA KUISHI MIAKA 20 ZAIDI TANGU LEO, MUNGU ATAJIVUNIA NINI KUTOKA KWAKO KWA AJILI YA HIYO MIAKA ULIYOISHI"
"Mnawaza nini juu ya Bwana...? NAHUMU 1:9
"Akamwambia mtunzaji wa shamba la mizabibu, TAZAMA, MIAKA MITATU HII NAJA NIKITAFUTA MATUNDA JUU YA MTINI HUU, NISIPATE KITU, UUKATE, mbona hata nchi unaiharibu? Akajibu akamwambia, Bwana, UUACHE MWAKA HUU NAO, hata niupalilie, niutilie samadi; nao ukizaa matunda baadaye, vema! LA, USIPOZAA, NDIPO UUKATE. LUKA13:7-9.
-Mtunzaji wa shamba la mizabibu ALIMWOMBA YESU MWAKA MMOJA TU asipopata matunda ndipo aukate.
NB: USIFIKIRI KWA AJILI YA MUDA ULIOPOTEA (IWE ULIUPOTEZA KWA KUKUSUDIA AU KWA KUTOKUKUSUDIA), FIKIRI KWA AJILI YA BWANA KUANZIA LEO.
ESTABLISH FUCUS FROM TODAY.