29/08/2026
Tunashukuru kwa neema ya uimbaji ambayo Mungu ametupatia. Jumapili hii ya 23 Agosti, Kwaya ya Shalom ilipata nafasi ya kuhudumu kwenye madhabahu takatifu. Tunakuombea video hii ikaseme na moyo wako popote ulipo.
Amen! ✨🎤
SifaNaKuabudu MuzikiWaInjili TanzaniaGospel PraiseAndWorship JumapiliNjema HudumaYaUimbaji Ushuhuda Barikiwa ChristianChoir