06/04/2026
Mafundisho ya Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho hujikita kwenye familia. Cha muhimu kwenye fundisho letu kuhusu familia ni Hekalu. Ibada zinazopokelewa humo hutuwezesha kurudi k**a familia za milele kwenye uwepo wa Baba yetu wa Mbinguni.