17/08/2026
Samaria Spiritual Center T.A.G inakukaribisha kwenye Mkesha Mkubwa🔥 Unaokwenda kwa jina la...
SITARUDI NYUMA
📅Tarehe 28/08/2026
⏱️Saa 2 - 6 USIKU
Usikose njoo tujifunze mbinu za kuzidi kuendelea ndani ya Kristo 🔥