Ufufuo Na Uzima Pugu

Ufufuo Na Uzima Pugu Senior Pastor
Sunday Service: From 8:00am
Weekly Services: Mon, Wed & Friday from 4:30pm
πŸ“Pugu Kisumu - Dar es Salaam, Tanzania

πŸ”₯ *JUMAPILI YA PASAKA* πŸ”₯```Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile s**i, alisema,``` *Imekwisha* . ```Akainama kichwa, akaisa...
04/04/2026

πŸ”₯ *JUMAPILI YA PASAKA* πŸ”₯

```Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile s**i, alisema,``` *Imekwisha* . ```Akainama kichwa, akaisalimu roho yake.....Jumapili hii nakualika na wewe katika``` *Jumapili Ya Pasaka* ```hapa kanisa la Ufufuo na Uzima Pugu```

πŸ“–*YOHANA 19:30*πŸ“–
πŸ“Pugu-Kisumu
πŸ“… 05 April 2026
⏰ Saa 2:00 Asubuhi

*WOTE MNAKARIBISHWA*

29/03/2026

MUNGU ATAKUPENDA NA KUKUHESHIMU UKIMTUMIKIA | BISHOP MICHAEL RENATUS

πŸ”₯ *KARIBU KWENYE IBADA JUMAPILI HII*πŸ”₯```Nalifurahia walipo niambia twende nyumbani mwa Bwana. Jumapili hii nakualika na ...
28/03/2026

πŸ”₯ *KARIBU KWENYE IBADA JUMAPILI HII*πŸ”₯

```Nalifurahia walipo niambia twende nyumbani mwa Bwana. Jumapili hii nakualika na wewe katika ibada ya Kusifu, kuabudu na maombi katika kanisa la Ufufuo na Uzima Pugu.```

πŸ“–*ZABURI 122:1*πŸ“–
πŸ“Ufufuo na Uzima Ilala,
Pugu- Kisumu
πŸ“… 29 Machi 2026
⏰ Saa 2:00 Asubuhi

> Kwa Mawasiliano zaidi kuhusu Ratiba za ibada zetu wasiliana nasi kwa namba 0688337384

πŸ’₯ *WATU WOTE MNAKARIBISHWA*πŸ’₯

πŸ”₯ *KARIBU KWENYE IBADA JUMAPILI HII*πŸ”₯```Nalifurahia walipo niambia twende nyumbani mwa Bwana. Jumapili hii nakualika na ...
21/03/2026

πŸ”₯ *KARIBU KWENYE IBADA JUMAPILI HII*πŸ”₯

```Nalifurahia walipo niambia twende nyumbani mwa Bwana. Jumapili hii nakualika na wewe katika ibada ya Kusifu, kuabudu na maombi katika kanisa la Ufufuo na Uzima Pugu.```

πŸ“–*ZABURI 122:1*πŸ“–
πŸ“Ufufuo na Uzima Ilala,
Pugu- Kisumu
πŸ“… 22 Machi 2026
⏰ Saa 2:00 Asubuhi

> Kwa Mawasiliano zaidi kuhusu Ratiba za ibada zetu wasiliana nasi kwa namba 0688337384

πŸ’₯ *WATU WOTE MNAKARIBISHWA*πŸ’₯

20/03/2026

BINTO ALIYEKUWA KWENYE CHUMBA CHA GIZA | ASKOFU ELIDADI

20/03/2026

KUMTUMIKIA MUNGU NI KUWATUMIKIA WATU | ASKOFU GWAJIMA

17/03/2026

Mungu ni Mungu AnayeRarua RauaπŸ”₯ | Bishop Elidadi

17/03/2026

Shetani Akimfunga mtu Hakuna Siku Atamhurumia | Bishop Elidadi

17/03/2026

MIMI SIO KIONGOZI WA KIDINI | ASKOFU GWAJIMA

Karibu tushiriki pamoja Siku 40 za Maombi! Kuanzia 4 Agosti hadi 12 Septemba 2025, tuungane kumtafuta Mungu kwa bidii na...
04/08/2025

Karibu tushiriki pamoja Siku 40 za Maombi! Kuanzia 4 Agosti hadi 12 Septemba 2025, tuungane kumtafuta Mungu kwa bidii na kusimama kwa ajili ya familia zetu, kanisa letu na taifa letu.

πŸ”₯ *MFUNGO SIKU YA 21* πŸ”₯``` Leo usije peke yako, mwambie rafiki yako amwambie rafiki yake,leo tunatangaza mwanzo mpya juu...
03/08/2025

πŸ”₯ *MFUNGO SIKU YA 21* πŸ”₯

``` Leo usije peke yako, mwambie rafiki yako amwambie rafiki yake,leo tunatangaza mwanzo mpya juu ya Taifa la Tanzania na itakuwa sawa sawa na tutakalo lisema```

*Heri taifa ambalo BWANA ni Mungu wao, Watu aliowachagua kuwa urithi wake*

⏰ Muda : 09:00 Asubuhi

*ISAYA 62: 6-7*

:6-7

Zaburi 33:10-1110 Bwana huyabatilisha mashauri ya mataifa, Huyatangua makusudi ya watu.11 Shauri la Bwana lasimama milel...
02/08/2025

Zaburi 33:10-11
10 Bwana huyabatilisha mashauri ya mataifa, Huyatangua makusudi ya watu.

11 Shauri la Bwana lasimama milele, Makusudi ya moyo wake vizazi na vizazi.

Address

Pugu-Kisumu
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ufufuo Na Uzima Pugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category