Majaalis El Ulaa El Qadiriyya

Majaalis El Ulaa El Qadiriyya Majaalis El Ulaa El Qadiriyya ni taasisi ya KITWARIQA inayoshughulika na maswala ya kulea jamii katika nyanja za elimu,afya,uchumi na maaadili mema.

Majaalis El Ulaa El Qadiriyya ni taasisi ya KITWARIQA(Kisufi) inayoshughulika na maswala ya kulea jamii katika nyanja za kiroho(dini), kielimu,kiafya,kiuchumi na maaadili mema. Taasis hii ya Majaalis El Ulaa El Qaadiriyya ilianzishwa mnamo mwaka 1966 katika mkoa wa Arusha, Tanzania. Miaka 10 baadae ilifunguliwa na kufanywa makao makuu yake mkoani Dar es Salaaam mnamo mwaka 1974 katika kitongoji ch

a Kariakoo mtaa wa Pemba. Kutoka hapo ikaaanza kusambaaa katika maeneo mbali mbali ya moa huo wa Dar es Salaam, Zanzibar, Pwani, London, Nakuru, na Nairobi. Majaalis El Ulaa El Qadiriyya pia inayo taasisi nyengine kwa ajili ya kusimamia mambo ya kijamii iliyosajiliwa mwaka 2000 ijulikanayo kwa jina la MWINYI BARAKA ISLAMIC FOUNDATION (MBIF). Aidha kwa sasa makao makuu yake yako Sinza Mori, Dar es Salaam, Tanzania. Matawi yake makubwa yako Ilala mtaa Saadani, Kariakoo mtaa wa Muheza, Mwenge kwa Mzee Ngaroca, Kijitonyama Madrassat Tarbiyyatul Islaamiyah na Kibaha Misugusugu. Muasis wa Taasisi hii ni SHEIKH AL FAQEER AHMAD BIN MOHAMMED BIN SHEIKH MISHA aliyetawafu 2001.

30/03/2026

Alfaaaaatiha!
Ahlu Ttwariiqa

Assalaam Aleykum Warahmatullah WabarakatKila apate ujumbe huu amjulishe Ahlul Majaalis mwenzie
25/03/2026

Assalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakat

Kila apate ujumbe huu amjulishe Ahlul Majaalis mwenzie

16/03/2026
11/03/2026

16/03/2026

MASHINDANI YA QUR'AN {MBIF}Assalaam Alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh!Mwinyi Baraka Islamic Foundation {MBIF} inapend...
01/03/2026

MASHINDANI YA QUR'AN {MBIF}

Assalaam Alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh!

Mwinyi Baraka Islamic Foundation {MBIF} inapenda kukuletea mwaliko wa Mashindano ya Qur'an tukufu kwa njia ya Taj-weed. Yatakayofanyika:

Mchujo; Tarehe 08/03/2026 saa 10:00 Asubuhi. Masjid Salami, Kijitonyama, Akachube Road Dar Es Salaam.

Finali: Tarehe 16/03/2026 01:00 Baada ya Adhuhuri.
Masjid Kijitonyama, Akachube Road Dar Es Salaam.

Share Taarifa Hii Kwa Kila Mtu 🙏🏾

Ni vema juu ya kila muislamu kuweka NIA ya kufanya extra ibada ndani ya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan ambao hivi karibun...
18/02/2026

Ni vema juu ya kila muislamu kuweka NIA ya kufanya extra ibada ndani ya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan ambao hivi karibuni tutakuwa ndani yake, na kuomba msaada wa utekelezaji kwa MwenyeziMungu ﷻ.

INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJI'UUN 😭 Jina lake kamili anaitwa Saidi M***a..Alikua mkristo na pia alikua askari mkuu...
24/01/2026

INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJI'UUN 😭

Jina lake kamili anaitwa Saidi M***a..Alikua mkristo na pia alikua askari mkuu wa kituo cha polisi cha LINDI.
Siku moja alikua Dar Es Salaam akapita maeneo ya Mburahati karibu na makao makuu ya Tariqat Qaadiriyya. Alhabib Sheikh Muhammad bin Nassor R.A alikua na Waadh'/Darsa, darsa ile ilimwingia sana kwa ilhali mpaka akasilimu. Baada ya kusilimu alipewa HIJAZA na akakabidhiwa SILSILA pamoja na bendera kwa ajili ya kuitangaza Tariqa. Kule kwao LINDI anaitwa SWALA NNALEKI! maana yake USIACHE SWALA. Kule Makka wanamwita MAJNUNU maana yake kichaa kwa sababu muda wote yeye anatamka LAA ILAAHA ILLA ALLAH, mpaka sasa Alhabib Said M***a ameenda hijja mara 50. Anasema pia katika Hijja zotealizowahi kwenda, hijja alioifanya mwaka wa 2014 au 2013 na ilikua siku ya Ijumaa, ilikua Hijja yenye ubora sana kwake, na akaongeza ile ndio ilikua hijja yake ya mwisho katika maisha yake.

Kwa jina jengine Alhabib Said M***a anaitwa SHEIKH ROCKET!

Amepewa Hijaza 4 amabzo ni Qaadiriyya, Alawiyya, Shadhiliyya na Tijania.

Uradi anaoupenda sanaaa kuusoma ni YAA LATWIF

MWENYEZI MUNGU ATUJAAALIE TUWE WENYE KUFATA NYAYO ZA SHEIKH LETU SHEIKH ROCKET!
Aamin.

Assalam alaykum.Innalillahi wa inna ilayhi rajiun. Ndugu yetu Ustadh Omar anatutangazia msiba wa Daruwesh Rocket. Tarati...
20/01/2026

Assalam alaykum.

Innalillahi wa inna ilayhi rajiun.

Ndugu yetu Ustadh Omar anatutangazia msiba wa Daruwesh Rocket.

Taratibu za maziko zitatolewa baada ya kikao cha familia InshaAllah.
*DARWESH ROCKET*

Jina lake kamili anaitwa Saidi M***a..Alikua mkristo na pia alikua askari mkuu wa kituo cha polisi cha LINDI.
Siku moja alikua Dar Es Salaam akapita maeneo ya Mburahati karibu na makao makuu ya Tariqat Qaadiriyya. Alhabib Sheikh Muhammad bin Nassor R.A alikua na Waadh'/Darsa, darsa ile ilimwingia sana kwa ilhali mpaka akasilimu. Baada ya kusilimu alipewa HIJAZA na akakabidhiwa SILSILA pamoja na bendera kwa ajili ya kuitangaza Tariqa. Kule kwao LINDI anaitwa SWALA NNALEKI! maana yake USIACHE SWALA. Kule Makka wanamwita MAJNUNU maana yake kichaa kwa sababu muda wote yeye anatamka LAA ILAAHA ILLA ALLAH, mpaka sasa Alhabib Said M***a ameenda hijja mara 50. Anasema pia katika Hijja zotealizowahi kwenda, hijja alioifanya mwaka wa 2014 au 2013 na ilikua siku ya Ijumaa, ilikua Hijja yenye ubora sana kwake, na akaongeza ile ndio ilikua hijja yake ya mwisho katika maisha yake.

Kwa jina jengine Alhabib Said M***a anaitwa SHEIKH ROCKET!

Amepewa Hijaza 4 amabzo ni Qaadiriyya, Alawiyya, Shadhiliyya na Tijania.

Uradi anaoupenda sanaaa kuusoma ni YAA LATWIF

MWENYEZI MUNGU ATUJAAALIE TUWE WENYE KUFATA NYAYO ZA SHEIKH LETU SHEIKH ROCKET!
Aamin.

INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJI'UUN 😭Huyu ndiye kijukuu wa Mzee Sheikh Ahmed Sheikh Muhammed Alfaqeer, aliyefariki d...
18/01/2026

INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJI'UUN 😭

Huyu ndiye kijukuu wa Mzee Sheikh Ahmed Sheikh Muhammed Alfaqeer, aliyefariki dunia hivi jioni. Mwenyezi Mungu alinawirishe qaburi lake.

Tunaomba wana zawia na waislamu waislamu kwa ujumla kumsomea Sura Ikhlaas ×3 InshaAllaah.

Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raaji'uun 😭
17/01/2026

Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raaji'uun 😭

08/01/2026

Assalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakat
Huu ni Mukhtasar wa matukio yaliotokea katika hauli ya Alhabib Mwinyi Baraka iliofanyika jana
Zawiyani Majaalis El Ulaa El Qaadiriyya, Sinza Mori

Address

Muheza Street, Kariakoo
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 18:00 - 23:00
Thursday 06:00 - 23:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Majaalis El Ulaa El Qadiriyya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share