Mji wa Kweli Church of Jesus

Mji wa Kweli Church of Jesus The Lord God Almighty and the Lamb are the temple of the City of Truth Revelation 21:22

30/04/2026

# Both Swahili & English caption

KARIBU IBADA YA KUFUNGUA MWEZI 5
Jiunge nasi Kesho Mji wa Kweli Church of Jesus at Airport, Dar es alaam kuanzia saa 05:00 jioni, tarehe 1 Mei 2026.

NENO, UPONYAJI UKOMBOZI
Milango mizuri ya Mwezi wa 5 Itafunguliwa ni wakati wako.

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa 📞+255 767 031 797...............................................................................................
WELCOME MONTH MAY GRAND ENTRANCE SERVICE
Join us Tomorrows Mji wa Kweli Church of Jesus at Airport. Dar es salaam from 1700pm EAT on 1st of May 2026.

THE WORD, HEALING & DELIVERANCE
Good doors for the month of MAY will be Opened for you

For More information please contact us +255 767 031 797
Pastoŕ JohnObama

19/10/2025

KUTOA SADAKA NI IBADA INAYOATHIRI VIZAZI

Ebr 7:9-10 SUV
[9] Tena yaweza kusemwa ya kuwa, kwa njia ya Ibrahimu, hata Lawi apokeaye sehemu ya kumi alitoa sehemu ya kumi; [10] kwa maana alikuwa katika viuno vya baba yake, hapo Melkizedeki alipokutana naye.

Wengi hawana moyo wa utoaji kufanya Ibada wanapenda pesa/mali zaidi ya Ibada kwa Mungu Baba aliye hai kwa sababu mioyo yao bado imeshikiliwa ktk madhabahu za Ibada ya miungu mingine iliyofanywa na mababu zao.

Abrahamu alipotoa kwa Mungu aliweka mioyo ya uzao wake ktk Ibada hukuti Isaka, Yakobo wanapata shida ya kumtolea na kumwabidu Mungu sababu Abraham aliweka Msingi.

UKIONA UNASIKIA UCHUNGU KUMTOLEA MUNGU BABA UJUE BADO UNA MIUNGU MINGINE AMBAYO UNAIPA IBADA KWA KUMKATAA MUNGU. UPENDO WAKO UNAHAMA NA KUKUFANYA UPENDE PESA KULIKO MUNGU- IDOL WORSHIP.
Unapotoa zaka Dhabihu kikamilifu au kiagano unavunja Nguvu za Ibada za mizimu.

Mal.3:11.I..nami kwa ajili yenu nitamkemea alaye...

19/10/2025

IBADA J.PILI 19-10-2025

1 Fal 19:17 SUV
[17] Na itakuwa atakayeokoka na upanga wa Hazaeli, Yehu atamwua; na atakayeokoka na upanga wa Yehu, Elisha atamwua.

JITU LA KIUME NA K**E LAZIMA LIFE.
STRONG MAN STRONG WOMAN MUST DIE

Nabii Eliya na umwamba wake wote alimkimbia mwanamke Yezebeli 1WAF.19:2-3 (JITU LA K**E)

Mfalme wa Israel YEHU alimaliza kazi ambayo Eliya aliikimbia ya kumuua Yezebeli.

KWENYE MAISHA YAKO LAZIMA UIMALIZE VITA. UKIKWEPA VITA ITAANGUKIA UZAO WAKO.

Yoyote aliyetoroka upanga wa babu na baba bibi na mama zako wewe uwe YEHU wa familia yako na upanga wa kuua miungu (majitu) ya umasikini magonjwa mifumo yote iliyofunga familia kutovuka mipaka.

14/10/2025

Nguvu ya kuteka Hazina za gizani na mali zilizofichwa sirini Iko ktk utu wa ndani. Unapoomba sana unavikwa Nguvu ya kuteka mateka. 1Kor.14:4, Rom.8:26-28

Yesu alishinda majaribu na kuukomboa ulimwengu kwa Maombi na Neno Lk.4:4-7.

❗ LEO OMBA RUDISHA, UMATEKA WAKO KIFEDHA UCHUMI NDOA AFYA ❗

12/10/2025

❗SHUHUDA ❗TESTIMONY❗ Listen

ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI 🙌

06/10/2025

ZAB,150:4 msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa zeze na filimbi.

Karibu Mji wa Kweli Church of Jesus

05/10/2025

Utukufu na Nguvu kwa Bwana 🙌
Welcome Mji wa Kweli Church

01/10/2025

MWEZI OKTOBA
ZABURI 126
Kurejeza Umateka &
Kicheko

01/10/2025

OCTOBER:
Psalm 126
Turning of Captivity &
Laughter

Kwa sasaivi Tanzania 🇹🇿 kwa sasaivi msikilizeni huyu Prophetrolinga
07/08/2025

Kwa sasaivi Tanzania 🇹🇿 kwa sasaivi msikilizeni huyu Prophetrolinga

Address

Julius Nyerere International Airport
Dar Es Salaam

Telephone

255767031797

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mji wa Kweli Church of Jesus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category