St. Alban's Anglican Cathedral - Dar es Salaam

St. Alban's Anglican Cathedral - Dar es Salaam Welcome to an Official page of the St. Alban's Anglican Cathedral Church - Tanzania

Mwaka huu wa 2024 tunaadhimisha miaka 90 ya uwepo wa Kanisa Kuu la Mt. Albano, Dar es Salaam.Kuelekea Maadhimisho haya, ...
03/05/2024

Mwaka huu wa 2024 tunaadhimisha miaka 90 ya uwepo wa Kanisa Kuu la Mt. Albano, Dar es Salaam.

Kuelekea Maadhimisho haya, Kanisa Kuu la Mt. Albano kwa kushirikiana na Bw. David Ocheng (mzee mwenye umri wa miaka 72, mstaafu wa fani ya maabara ya matibabu mwenye ulemavu wa miguu ambaye hutembea kwa msaada wa magongo) pamoja na Bw. Noel Gumbo (mlemavu wa macho), tumeandaa Tukio la Matembezi na Kukimbia kwa ajili ya Kuchangisha Fedha ili kusaidia miradi ya kijamii.

Tukio hili linalenga kukusanya fedha kwa ajili ya juhudi za kuifikia na kuitendea mema jamii kupitia Mkono wa Msamaria na mradi wa uwekezaji.

Hivyo, tunakukaribisha katika Uzinduzi Rasmi wa Matembezi haya ambayo utafanyika Jumapili hii tarehe 5 Mei, 2024 katika Misa zote tatu hapa Kanisa Kuu la Mt. Albano Dar es Salaam.

Tafadhali usipange kukosa.

Shalom!Karibu katika Ibada za Adhuhuri (Lunch Hour Fellowship) zinazofanyika Kila siku za kazi kuanzia saa 7:00 - saa 8:...
29/04/2024

Shalom!
Karibu katika Ibada za Adhuhuri (Lunch Hour Fellowship) zinazofanyika Kila siku za kazi kuanzia saa 7:00 - saa 8:00 Mchana hapa Kanisa Kuu la Mt. Albano - Upanga Dar es Salaam

Wiki hii, Mwl. Godwin Urassa atatufundisha pamoja na kutuongoza katika maombi.

Pia tutakuwa Live kupitia You Tube Channel yetu ya St. Alban's Tv

‡
https://youtube.com/

(Tafadhali Subscribe)

27/04/2024

SALA YA JIONI
Jumamosi Tarehe 27 Aprili, 2024

Familia ya Kahemele inawakaribisha wote katika Ibada ya Shukrani na Kumbukumbu ya Maisha ya Mama Mary Ombeni Kahemele al...
23/04/2024

Familia ya Kahemele inawakaribisha wote katika Ibada ya Shukrani na Kumbukumbu ya Maisha ya Mama Mary Ombeni Kahemele aliyefariki tarehe 16 Machi, 2024.

Ibada itafanyika Jumamosi tarehe 27 Aprili, 2024 kuanzia saa 3:00 asubuhi hapa Kanisa Kuu la Mt. Albano, Upanga Dar es Salaam.

β€œMaana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye”
1 Wathesalonike 4:14

Shalom!Karibu katika Ibada za Adhuhuri (Lunch Hour Fellowship) zinazofanyika Kila siku za kazi kuanzia saa 7:00 - saa 8:...
22/04/2024

Shalom!
Karibu katika Ibada za Adhuhuri (Lunch Hour Fellowship) zinazofanyika Kila siku za kazi kuanzia saa 7:00 - saa 8:00 Mchana hapa Kanisa Kuu la Mt. Albano - Upanga Dar es Salaam

Wiki hii, Mwl. James Kamera atatufundisha pamoja na kutuongoza katika maombi.

Pia tutakuwa Live kupitia You Tube Channel yetu ya St. Alban's Tv

‡
https://youtube.com/

(Tafadhali Subscribe)

Kanisa Anglikana TanzaniaDayosisi ya Dar es SalaamKanisa Kuu la Mt Albano Dar es SalaamKaribu Kanisani kwetu Jumapili hi...
20/04/2024

Kanisa Anglikana Tanzania
Dayosisi ya Dar es Salaam
Kanisa Kuu la Mt Albano Dar es Salaam

Karibu Kanisani kwetu Jumapili hii tarehe 21 Aprili, 2024 ikiwa ni Siku ya Bwana ya Tatu Baada ya Pasaka.

Wazo Kuu la Wiki: KRISTO NI NURU YETU

Tutakuwa na Ibada 3 za Misa Takatifu;

πŸ• Misa ya I (Kiswahili)
Saa 12:30 Asubuhi

πŸ• Misa ya II (Kiingereza)
Saa 02:30 Asubuhi

πŸ• Misa ya III (Kiswahili)
Saa 04:30 Asubuhi

Pia tutakuwa LIVE (Mbashara) kupitia St. Alban's Tv & Online Radio pamoja na mtandao wa Facebook.

Ven. Canon Jacob Kahemele, Kasisi Kiongozi wa Kanisa Kuu la Mt. Albano Dar es Salaam anawakaribisha vijana wote katika M...
20/04/2024

Ven. Canon Jacob Kahemele, Kasisi Kiongozi wa Kanisa Kuu la Mt. Albano Dar es Salaam anawakaribisha vijana wote katika Mkutano Maalum wa Vijana utakaofanyika Ijumaa tarehe 26 Aprili, 2024 saa 4 asubuhi hapa Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano, Dar es Salaam. Mkutano huu utaenda sambamba na uchaguzi wa viongozi wa Idara ya Vijana Mtaa wa Mt. Albano.

Karibu tuzungumze pamoja, tujifunze na kushirikishana mambo mbalimbali yahusuyo vijana na Kanisa letu kwa ujumla.

Kumbuka, chakula cha mchana pia kitakuwepo.

Tafadhali usipange kukosa

Shalom!Karibu katika Ibada zetu za Adhuhuri (Lunch Hour Fellowship) zinazofanyika Kila siku za kazi kuanzia saa 7:00 - s...
15/04/2024

Shalom!
Karibu katika Ibada zetu za Adhuhuri (Lunch Hour Fellowship) zinazofanyika Kila siku za kazi kuanzia saa 7:00 - saa 8:00 Mchana hapa Kanisa Kuu la Mt. Albano - Upanga Dar es Salaam

Wiki hii, Mwl. James Kamera atatufundisha pamoja na kutuongoza katika maombi.

Pia tutakuwa Live kupitia You Tube Channel yetu ya St. Alban's Tv

‡
https://youtube.com/

(Tafadhali Subscribe)

Kanisa Anglikana TanzaniaDayosisi ya Dar es SalaamKanisa Kuu la Mt Albano Dar es SalaamKaribu Kanisani kwetu Jumapili hi...
13/04/2024

Kanisa Anglikana Tanzania
Dayosisi ya Dar es Salaam
Kanisa Kuu la Mt Albano Dar es Salaam

Karibu Kanisani kwetu Jumapili hii tarehe 14 Aprili, 2024 ikiwa ni Siku ya Bwana ya Pili Baada ya Pasaka.

Wazo Kuu la Wiki: MCHUNGAJI MWEMA

Tutakuwa na Ibada 3 za Misa Takatifu;

πŸ• Misa ya I (Kiswahili)
Saa 12:30 Asubuhi

πŸ• Misa ya II (Kiingereza)
Saa 02:30 Asubuhi

πŸ• Misa ya III (Kiswahili)
Saa 04:30 Asubuhi

Pia tutakuwa LIVE (Mbashara) kupitia St. Alban's Tv & Online Radio pamoja na mtandao wa Facebook.

Shalom!Karibu katika Ibada zetu za Adhuhuri (Lunch Hour Fellowship) zinazofanyika Kila siku za kazi kuanzia saa 7:00 - s...
08/04/2024

Shalom!
Karibu katika Ibada zetu za Adhuhuri (Lunch Hour Fellowship) zinazofanyika Kila siku za kazi kuanzia saa 7:00 - saa 8:00 Mchana hapa Kanisa Kuu la Mt. Albano - Upanga Dar es Salaam

Wiki hii, Mwl. Benjamin Abeli .benjaminiabel atatufundisha pamoja na kutuongoza katika maombi.

Pia tutakuwa Live kupitia You Tube Channel yetu ya St. Alban's Tv

‡
https://youtube.com/

(Tafadhali Subscribe)

Kanisa Anglikana TanzaniaDayosisi ya Dar es SalaamKanisa Kuu la Mt Albano Dar es SalaamKaribu Kanisani kwetu Jumapili hi...
06/04/2024

Kanisa Anglikana Tanzania
Dayosisi ya Dar es Salaam
Kanisa Kuu la Mt Albano Dar es Salaam

Karibu Kanisani kwetu Jumapili hii tarehe 7 Aprili, 2024 ikiwa ni Siku ya Bwana ya Kwanza Baada ya Pasaka.

Wazo Kuu la Wiki: YESU USHINDI WETU

Tutakuwa na Ibada 3 za Misa Takatifu;

πŸ• Misa ya I (Kiswahili)
Saa 12:30 Asubuhi

πŸ• Misa ya II (Kiingereza)
Saa 02:30 Asubuhi

πŸ• Misa ya III (Kiswahili)
Saa 04:30 Asubuhi

Pia tutakuwa LIVE (Mbashara) kupitia St. Alban's Tv & Online Radio pamoja na mtandao wa Facebook.

Address

Upanga
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Alban's Anglican Cathedral - Dar es Salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to St. Alban's Anglican Cathedral - Dar es Salaam:

Share

Category