KKKT - Dmp Usharika Wa Kimara

KKKT - Dmp Usharika Wa Kimara Disclaimer : Kanisa halitahusika na maoni yanayotolewa katika ukurasa huu.

17/03/2026
RATIBA YA IBADA ZA MSIMU WA SIKUKUU ZA KRISMASI NA MWAKA MPYA.
22/12/2025

RATIBA YA IBADA ZA MSIMU WA SIKUKUU ZA KRISMASI NA MWAKA MPYA.

24/02/2025

Bwana Yesu!
Uliekimbilio langu pekee, nakusihi tembea nami wiki yote hii, uliengome Imara maishani mwangu.

Tukutane Ibadani jioni kuanzia saa 12:30 jioni.

23/02/2025

Kwaya - Kwaya kuu Kimara
Mungu kwetu sisi ndio kimbilio la kweli na Uzima. Kila aendae kwake lazima kumkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake - kuokoka ni lazima.

Karibu tuendelee kuusemesha mwezi wa pili kwa kumwinulia Bwana Ibada ya Kusifu na Kuabudu!TUKIO : Ibada ya KUSIFU NA KUA...
14/02/2025

Karibu tuendelee kuusemesha mwezi wa pili kwa kumwinulia Bwana Ibada ya Kusifu na Kuabudu!

TUKIO : Ibada ya KUSIFU NA KUABUDU
TAREHE : 16-02-2025 (Jumapili hii kuanzia saa nane mchana)
MAHALI : Usharika wa Kimara Korogwe

WATUMISHI : (Muhubiri - ONOROGERS FUNGO sambamba na Mwimbaji - YESE WA YESE.

Mkaribishe na mwenzako.

09/02/2025

Kanisani kwetu kuna shule
Shuleni kwetu Jerusamukimara-misingi na sekondari, kuna shule.

Elekeza moyo wako na maisha yako kwa Yesu, ndie atakaekupa njia salama ya kushinda vita katika maisha yako.

09/02/2025

Elekeza moyo wako na maisha yako kwa Yesu katika hatua za maisha yako kila wakati uku ukimtazama pekee!

06/02/2025


Waraka kwa Waebrania 10:39: Lakini sisi hatumo miongoni mwao wasitao na kupotea, bali tumo miongoni mwa hao walio na imani ya kutuokoa roho zetu.

Wimbo : Hatumo
Kwaya : Wanaume - KKKT kimara

05/02/2025

Luka 18:15-17
15 Watu wakamletea Yesu watoto wao wachanga ili awaguse. Wanafunzi walipowaona, wakawakemea.

16 Lakini Yesu akawaita wale watoto waje kwake, akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni wa watu walio k**a hawa watoto.

17 Nawaambia hakika, ye yote ambaye hataupokea Ufalme wa Mungu k**a mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”

Jioni kuanzia saa 12:00 tutakua na Ibada ya kushiriki ikifuatiwa na maombi/maombezi.

02/02/2025

“Usifanye lolote pasipo kusikia sauti ya Mungu ikisema na wewe!Msikilize na kumtii Roho katika hatua zako zote.
Yesu anasamehe.
Yesu anarejesha.
Yesu anamajibu.
Yesu ni mwenye nguvu zaidi.

02/02/2025


Yesu ni Mfame wa Amani
Yesu anatusafisha dhambi
Yesu Neno lake ni la kweli
Anatupenda Yesu!

Address

Kimara Korogwe
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT - Dmp Usharika Wa Kimara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to KKKT - Dmp Usharika Wa Kimara:

Share