UPONYAJI WA MATAIFA

UPONYAJI WA MATAIFA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UPONYAJI WA MATAIFA, Religious organisation, Kinondoni Manyanya, Dar es Salaam.

Ukurasa huu umesheheni shuhuda za matendo makuu na ya ajabu ambayo BWANA Mungu wetu na Kristo wake huwatendea wanadamu kupitia huduma ya Mtume Jaimes Onaire; kutokea katika ibada za Gurudumu la Kinabii, zinazofanyika NGOME KUU, Kinondoni - Manyanya.

K**a unataka kujua, kwa habari ya mambo mazito yanayohusisha taifa la Tanzania na swala zina la MUUNGANO, basi BONYEZA l...
01/05/2024

K**a unataka kujua, kwa habari ya mambo mazito yanayohusisha taifa la Tanzania na swala zina la MUUNGANO, basi BONYEZA link hii hapa chini 👇

Katika hali isiyo ya kawaida, Mtumishi wa Mungu, Mtume na Nabii Jaimes Onaire alijikuta akizungumzia na kufunua kwa kina mambo nyeti sana yanayohusiana na mu...

Ni wakati sahihi wa kuvukishwa mipaka ya aina yote; kutokea katika mkutano huu mkuu wa mwaka 2023, kutokea Bustanini Kwa...
26/09/2023

Ni wakati sahihi wa kuvukishwa mipaka ya aina yote; kutokea katika mkutano huu mkuu wa mwaka 2023, kutokea Bustanini Kwa Bwana.

Watu wote mnakaribishwa sanaaaa!!!!!!Ni wakati sahihi wa kuvukishwa mipaka ya aina yote; kutokea katika mkutano huu mkuu wa mwaka 2023, kutokea Bustanini Kwa Bwana.

Watu wote mnakaribishwa sanaaaa!!!!!!

JE WAJUA YA KUWA NYARAKA NA VITAMBULISHO VYA MTU NI SAWASAWA NA VINA SABA (DNA) YAKE? Fuatilia ujumbe huu wa kinabii uwe...
24/02/2023

JE WAJUA YA KUWA NYARAKA NA VITAMBULISHO VYA MTU NI SAWASAWA NA VINA SABA (DNA) YAKE?

Fuatilia ujumbe huu wa kinabii uweze kuelekewa mapana ya jambo hili kwa habari ya NGUVU YA NYARAKA NA VITAMBULISHO

Je wajua ya kuwa Nyaraka na Vitambulisho ni vitu muhimu sana k**a ilivyo VINA SABA VYA MWANADAMU? Na je wajua ya kuwa nyaraka na vitambulisho vinaweza kutumi...

25/10/2022
MKESHA! MKESHA! MKESHA!!
29/12/2021

MKESHA! MKESHA! MKESHA!!

Kwa nini uendelee kuwa mateka wa hatma?
02/10/2021

Kwa nini uendelee kuwa mateka wa hatma?

CORONA VIRUS (COVID-19) HAITAKUWA NA MASHIKO DHIDI YAKO!!! Jambo moja TU zingatia, ya kuwa kuelekea Jumapili ya tarehe 2...
16/03/2020

CORONA VIRUS (COVID-19) HAITAKUWA NA MASHIKO DHIDI YAKO!!!

Jambo moja TU zingatia, ya kuwa kuelekea Jumapili ya tarehe 21/3/2020; Mtume Jaimes Onaire anakuletea...

Address

Kinondoni Manyanya
Dar Es Salaam

Telephone

+255763990009

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UPONYAJI WA MATAIFA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to UPONYAJI WA MATAIFA:

Share