Tanzania Methodist Church, Msasani

Tanzania Methodist Church, Msasani Better Church For this and the Next Generation.

Ratiba ya Kanisa Wiki Hii
02/09/2026

Ratiba ya Kanisa Wiki Hii

19/08/2026

New Generation Choir ✨️
Something Big is Coming


05/08/2026

Matendo ya Mitume 19:6

Karibu TMC-MSASANI BONDE la Matumaini kwa Watu wote
Ibada zetu ni
Jtano:Bible Study
Ijumaa:Maombi na Maombezi na Kila Jumapili ni Ibada Kuu ya Wiki.

Tunamshukuru Mungu Kwa Neema aliyotupa Ya Wageni kutoka S.Korea katika kanisa letu Mama la Immanuel  Na pichani ni wagen...
05/08/2026

Tunamshukuru Mungu Kwa Neema aliyotupa Ya Wageni kutoka S.Korea katika kanisa letu Mama la Immanuel

Na pichani ni wageni wetu walipotembelea kanisa la TMC FUKAYOSI na Kushiriki katika Upandaji miti na Kufanya Ibada Fupi.

MATUKIO KATIKA PICHA.Ibada Kuanza Mwezi Wa AUGUST hapa Kanisani TMC-MSASANI Tumepata Baraka ya Kuhudumiwa na Baba Askofu...
05/08/2026

MATUKIO KATIKA PICHA.
Ibada Kuanza Mwezi Wa AUGUST hapa Kanisani TMC-MSASANI Tumepata Baraka ya Kuhudumiwa na Baba Askofu Mkuu Bish. SAMUEL NYANZA na Alikuongoza Ibada ya Maombi na Maombezi kwa Watu wote
Tumebarikiwa Sana Matendo Ya Mitume 19:6 ✍️

03/08/2026

Wageni wetu wamefika Salama
Tunamshukuru Mungu


01/07/2026
  Miaka 35 ya Neema, Uaminifu na Huduma.
30/06/2026



Miaka 35 ya Neema, Uaminifu na Huduma.

Tunamtukuza na Tunamshukuru Mungu kwa Wema na Fadhili zake kwa kuwa pamoja nasi kuanzia Mwanzo wa Maandalizi hadi Kilele...
30/06/2026

Tunamtukuza na Tunamshukuru Mungu kwa Wema na Fadhili zake kwa kuwa pamoja nasi kuanzia Mwanzo wa Maandalizi hadi Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 35 Ya Kanisa letu la TANZANIA METHODIST CHURCH.

Tulikuwa na Wakati Mzuri wa Ibada, Maandamano ya Kuadhimisha Siku hiyo yaliyo ambatana na Sherehe za Kuhitimisha katika Kanisa letu la TMC-MSASANI-DAR ES SALAAM.
Hakika tulimuona Mungu na Sasa tunasema Yeye ni Ebenezer.

UFUNUO 2:10b
,uaminifunahuduma

27/06/2026

Address

Box 60586
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Methodist Church, Msasani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tanzania Methodist Church, Msasani:

Shortcuts

Share