Aict_youthsinza

Aict_youthsinza a youth organsation originating from AICT church sinza.

determined to spread the word of GOD, creating a comfortable environment for praising, worshiping but also aspiring to bring together different youth from different places.

27/02/2022

Leo Katika Ibaada ya Shukrani Katika Kanisa Letu La AICT Sinza🙏🏾

Hakika Mungu ameendelea kuwa mwema kwetu nasi hatuna la kusema zaidi ya ASANTE🙏🏾

27/02/2022 Miaka 15 tangu kuanzishwa kwa Kanisa la AICT SINZA🔥 GOD IS GOOD ALL THE TIME🙏🏾


Shukrani Ni Jambo La Muhimu Sana Kwenye Maisha Ya Mkristo. Ni wakati mzuri wa kuungana na Neema Gospel Choir] kumwimbia ...
17/11/2021

Shukrani Ni Jambo La Muhimu Sana Kwenye Maisha Ya Mkristo. Ni wakati mzuri wa kuungana na Neema Gospel Choir] kumwimbia Mungu kwa Moyo uliojaa Shukrani Tele Katika Ibaada Maalum Ya Live Recordingg🙏🏾🙏🏾

UNAKOOOSAAJEE🔥🔥🔥
Save the Date: 3/12/2021
Venue: CCC Upanga
Time: Kuanzia saa 2 usiku

NI BURE KABISAA💥💥💥💥
Tusiwe K**a Wale Wakoma Ambao Hawakumshukuru Mungu. Njoo tumalizie mwaka kwa Shukrani kwa pamoja💃🏼💃🏼

Neema Gospel Choir]


Grateful💥 Invest In Christ🔥🔥🔥Hakika Hitimisho La Vijana Chalo Cha Ilala Imekua Ni Baraka Tele✅✅✅  17.10.2021Watag Unaowa...
17/10/2021

Grateful💥 Invest In Christ🔥🔥🔥

Hakika Hitimisho La Vijana Chalo Cha Ilala Imekua Ni Baraka Tele✅✅✅
17.10.2021

Watag Unaowajua hapo sisi tunaanza na😝😎👇🏼

Karibuni Sana Katika Hitimisho La Vijana Chalo Cha Ilala🔥🔥🔥 Ni jumapili hii katika Kanisa la AICT Tabata kuanzia saa 2 a...
15/10/2021

Karibuni Sana Katika Hitimisho La Vijana Chalo Cha Ilala🔥🔥🔥

Ni jumapili hii katika Kanisa la AICT Tabata kuanzia saa 2 asubuhi 💥💥
Njooni tujumuike pamoja katika kumsifu Mungu wetu na kumuinua🙏🏾

Mchungaji wa Kanisa La AICT SINZA Andrew Olelemomo Mboje🙏🏾
02/10/2021

Mchungaji wa Kanisa La AICT SINZA Andrew Olelemomo Mboje🙏🏾

Hakika Kwa Yesu Ni Raha Sana😍😍😍Watu wa Mungu Huduma Yenu Ni Njema Sana🙏🏾🙏🏾
29/09/2021

Hakika Kwa Yesu Ni Raha Sana😍😍😍

Watu wa Mungu Huduma Yenu Ni Njema Sana🙏🏾🙏🏾



About 26th September 2021🔥🔥🔥Praise and Worship Experience with BarbequeBasi Tuseme Nini Juu Ya Haya.. Mungu Akiwa Upande...
29/09/2021

About 26th September 2021🔥🔥🔥Praise and Worship Experience with Barbeque

Basi Tuseme Nini Juu Ya Haya.. Mungu Akiwa Upande Wetu Ni Nani Aliye Juu Yetu💥💥

Watu wa Mungu Mlitisha Sana🥂

Fursa💥Fursa💥Fursa Una biashara yako na ungependa kujumuika nasi katika Tamasha letu la kusifu na kuabudu pamoja na nyama...
21/09/2021

Fursa💥Fursa💥Fursa
Una biashara yako na ungependa kujumuika nasi katika Tamasha letu la kusifu na kuabudu pamoja na nyama choma unaweza book meza yako mapema kwa Tsh. 30,000 tu…

Wasiliana nasi kupitia namba 0652 666888

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aict_youthsinza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category