Sauti ya Uponyaji

Sauti ya Uponyaji Huduma ya maombi na maombezi,kimara s**a,Ratiba za Ibada:
Jumatano,ijumaa na jumapili saa8:00Asubuhi

06/07/2024

moyo ndio shamba na neno ni mbegu kuna mbegu aina mbili njema _neno la ufalme na mbaya neno _la adui watumwa wa mwenye shamba wakaomba wakayango'e mwenye shamba akawambia achani malaika ndio watakao vuna nakuyafunga matita matita na kuyachoma moto inawezekana shamba lako pia lina magugu ambayo ni magonjwa sugu madakatari wameshindwa umenda kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio mazuri upoteza mahusiano unasumbuliwa na ndoto mbaya sasa saa ndio hii ya kuvunwa malaika roho isîyo na mwili ikimaanisha roho mtakatifu wacha ataketeze magugu yote kwako na uvunwe akuweke mahali salama kwa jina la yesu

16/03/2024

Bibilia imejumuishwa na magano mawili, Agano. la kale na Agano jipya, vitu vinavyo tengeneza agano, (1)walengwa wahusika (2)yaliyomo mahudhuri (3)matokeo (4)muda (5)jukumu la kutunza ktk agano la kale walengwa ilikuwa Israeli wa kimwili mpatanish musa agano lilithibitishwa kwa damu ya myama na agano jipya kwa damu ya yesu Israeli walivunja agano ebrania 8:7-8 (1)waliabudu ndama (2)waliabudu sanamu yesu alikuja kusuruhisha dhambi ya agano la kwanza kwa mini Israeli hawakumpokea yesu sababu hawakutunza agano na hawakuamini utimilifu wa unabii mwisho walikuwa wanamgojea masihi kimtazamo wa kisiasa

Huduma ya maombi na maombezi,kimara s**a,Ratiba za Ibada:
Jumatano,ijumaa na jumapili saa8:00Asubuhi

Address

Kimara S**a
Dar Es Salaam

Telephone

+255766431807

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sauti ya Uponyaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Sauti ya Uponyaji:

Share