MGPA Tanzania

MGPA Tanzania We believe that righteousness exalts a nation.

A sincere thank you to all MGPA members for the trust, participation, and unity demonstrated during the Annual General M...
21/12/2025

A sincere thank you to all MGPA members for the trust, participation, and unity demonstrated during the Annual General Meeting. Together, we continue to build and serve.

We are loved beyond measure, and nothing can separate us from that love.
16/10/2025

We are loved beyond measure, and nothing can separate us from that love.

A Simple Truth About SalvationSalvation is not earned through effort, perfection, or good deeds—it is a gift freely give...
19/10/2024

A Simple Truth About Salvation

Salvation is not earned through effort, perfection, or good deeds—it is a gift freely given by grace. All we need to do is believe and accept it. Jesus paid the ultimate price on the cross so we could be reconciled with God, not by what we do, but by what He has already done.

“For it is by grace you have been saved, through faith—and this is not from yourselves, it is the gift of God” (Ephesians 2:8-9).

No matter your past, salvation is available to you today. Come as you are, receive His love, and walk in the freedom that only Christ can give.



 kazi yenu ni njema sana. Mungu azidi kuwabariki na kuwatumia kwa utukufu wake.
19/10/2024

kazi yenu ni njema sana. Mungu azidi kuwabariki na kuwatumia kwa utukufu wake.



Mama  ilikuwa baraka sana kuwa na wewe kwenye mkutano huu wa Injili.
19/10/2024

Mama ilikuwa baraka sana kuwa na wewe kwenye mkutano huu wa Injili.



“Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie;  kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao”Mathayo 1...
19/10/2024

“Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao”

Mathayo 19:14



“When praises goes up, his presence comes down”Nguvu za Mungu zineendelea kuwa kwa wingi kwenye mkutano huu. Watu wengi ...
19/10/2024

“When praises goes up, his presence comes down”

Nguvu za Mungu zineendelea kuwa kwa wingi kwenye mkutano huu. Watu wengi wanaokolewa kutoka ufalme wa giza na kuhamishiwa kwenye ufalme wa Mwana wa pendo la Mungu k**a yanenavyo maandiko.



Mtumishi wa Bwana Emmanuel Maduka akihubiri injili ya Yesu. Nguvu ya Mungu ilikuwepo kuokoa, kuponya na kufungua waliofu...
19/10/2024

Mtumishi wa Bwana Emmanuel Maduka akihubiri injili ya Yesu. Nguvu ya Mungu ilikuwepo kuokoa, kuponya na kufungua waliofungwa na nguvu za giza.



Rum 10:13Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
19/10/2024

Rum 10:13

Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.



Tunawashukuru wachungaji wote wa Mkuranga ambao wanaendelea kushirikiana nasi katika huduma hii. Umoja wenu na uzidi kud...
18/10/2024

Tunawashukuru wachungaji wote wa Mkuranga ambao wanaendelea kushirikiana nasi katika huduma hii. Umoja wenu na uzidi kudumu k**a yalivyo mapenzi ya Bwana.

Yohana 17:11

“Wala mimi simo tena ulimwenguni lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ILI WAWE NA UMOJA k**a sisi tulivyo.”



Kwaya mbalimbali za makanisa wenyeji zimepata nafasi ya kuimba kwemye mkutano unaoendelea hapa Mkuranga mjini.
18/10/2024

Kwaya mbalimbali za makanisa wenyeji zimepata nafasi ya kuimba kwemye mkutano unaoendelea hapa Mkuranga mjini.



Mtumishi wa Bwana   Imekuwa baraka sana kuwa na wewe kwenye mkutano tunaoendela nao hapa  🇹🇿Mungu azidi kukutumia kwa vi...
18/10/2024

Mtumishi wa Bwana Imekuwa baraka sana kuwa na wewe kwenye mkutano tunaoendela nao hapa 🇹🇿

Mungu azidi kukutumia kwa viwango vikubwa zaidi na zaidi. You’re a blessing.



Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 16:00
Tuesday 09:00 - 16:00
Wednesday 09:00 - 16:00
Thursday 09:00 - 16:00
Friday 09:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MGPA Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share