29/07/2018
Fungua moyo yesu aingie,alisikika mchungaji akiwambia watoto,watoto wote walianza kuangalia vifuani kwao na kuona mapigo ya moyo,wakaanza kujiuliza ina maana yesu ni mdogo sana anaweza kuingia ndani ya moyo na je akiingia si tunaweza kufa maana itabidi moyo upasuliwe ili yesu aingie.hii ni kwa sababu watoto hujifunza kwa kuona na kuchkulia vitu vile vile vilivyo.kwa hiyo ni muhimu sana kuzifahamu njia na maneno ya kutumia pindi unapowafundisha watoto.
mwl Justin...Barikiwa