Gilgal Christian Ministries International - GCMI-Segerea DSM

Gilgal Christian Ministries International - GCMI-Segerea DSM Focused to connect people with their Creator.

04/06/2026

Ni kweli

Hii ni taarifa njema kwa kila anayetamani VIWANGO VIPYA! Ijumaa hii usiku, utakua ni mkesha wa KUINGIA KATIKA VIWANGO VI...
28/05/2026

Hii ni taarifa njema kwa kila anayetamani VIWANGO VIPYA!
Ijumaa hii usiku, utakua ni mkesha wa KUINGIA KATIKA VIWANGO VIPYA. Karibu wewe, na wewe wakaribishe na wengine

26/05/2026
Shalom! Nina uhakika hii ibada inakuhusu. Kutakua na mtembeo mkubwa wa nguvu za Roho Mtakatifu zitakazoleta viwango vipy...
23/05/2026

Shalom! Nina uhakika hii ibada inakuhusu. Kutakua na mtembeo mkubwa wa nguvu za Roho Mtakatifu zitakazoleta viwango vipya vya maisha na kusabisha kuwezekana kwa kila kilichokua kimeshindikana

19/05/2026

Je una kiu ya kuona UDHIHIRISHO wa kazi za Mungu? Umechoka kuishi chini ya viwango vya kiungu? Basi karibu katika siku zingine 5 za Maombi ya kukutana na uwezo wa Roho Mtakatifu kwa ajili ya kuishi maisha zaidi ya kawaida.
Ni kuanzia kesho saa 10 katika kanisa Gilgal Segerea .

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255752605781

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gilgal Christian Ministries International - GCMI-Segerea DSM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Gilgal Christian Ministries International - GCMI-Segerea DSM:

Share