House of Miracle tz

House of Miracle tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from House of Miracle tz, Milbone Street, Dar es Salaam.

03/01/2020

FITINA
1.Wapenzi katika Kristo Yesu tumesikia habari ya neno hili katika maeneo yetu,pengeni hatukulipa uzito mkubwa kwa kutojua zaidi athali zake ndani maisha yetu,ndaƱi ya huduma na nafasi nyingine kwa ujumla wake,Kati ya mambo yanayo litesa kanisa sasa ni fitina.

2.Asilimia kubwa ya neno hili inatokana na wivu mbaya wenye uchungu.Kazi kubwa ya fitina ni kuleta mafarakano(faraka),kutokuelewana kati ya mtu kwa mtu,mtu na watu wengine.

3.Lengo uwa ni kuwafanya watu wasiwe na umoja WAFILIPI 2:5-8.

4.Jamani wawili wawezaje pita njia moja ikiwa hawakupatana?

5.Tukisema Mungu ni mmoja halafu hatupatani huo ni unafki wazi basi ni lazima yatokee,majivuno,mashindano kila mmoja akitaka mwenzake aone kuwa yeye ni zaidi

6.1WAKOR 11:17-18. 17Lakini ktk kuagiza haya ,siwasifu,ya kwamba mmekusanyika,si kwa faida bali kwa hasara
18.Kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu nami nusu nasadiki.

7.Mnajua kwann kuna faraka kanisani?
Hapa naomba niseme ukweli kwamba hili kundi la walokole lilijipenyeza ndani ya kanisa ili kutufarakanisha wakristo na ndiyo maana unaweza kuona kanisa limeandikwa Pentecost lakini ndani ni walokole,t.a.g lakini ndani walokole

8.WAFILIPI 1:15 Wengine wanahubiri habari za kristo kwa sababu ya husda na fitina;na wengine kwa nia njema.

By; Mwl Edward john

25/12/2019

WAISLAM TUNAHITAJI TOBA.

Mungu alipo mwambia Ibrahim amchukue Isacka akamfanye kuwa sadaka badala ya kondoo alitaka nn haswa!?
1.Alitaka kupima kiwango cha utii alichonacho Ibrahim juu yake,maana utii ni bora kuliko dhabihu.
2.Kupima kiwango chake cha Imani inayotokana na kusikia sauti yake
Kutoka 19:5

Lakini pia Mungu akusudia kufundisha kuwa thamani ya mwanadamu ni kubwa hivyo haiwezi kulinganishwa na mnyama wala kitu chochote kwa maana vitu na viumbe vyote dunia Mungu alimpa mwanadu kuvimiliki Mwanzo 1:28-29.

Tendo la Ibrahim kukubali kumtoa Isack mwanae wapekee aliyempenda kwa ajili ya Mungu anayempenda zaidi iligusa moyo wa Mungu ndiyo tabia yake halisi hivyo Mungu akampa Ibrahim kuwa Baba wa imani wa vizazi vyote duniani

Tunaona tendo lile ambalo Ibrahim alilifanya la kumtoa Mwanae wapekee ndilo Mungu amelifanya kwenye agano jipya kwa kumtoa Yesu Kristo ili kila amwaminiye asipotee Kwa sababu hiyo Mungu alitupenda sisi zaidi ya alivyompenda Yesu tena Yesu anatupenda zaidi ya anavyojipenda kwa kukubali kutoa uhai wake kwa ajili yetu. Ndugu zangu Waislam najua mnakubaliana na Ibrahim kuwa Baba wa Imani na kuonyesha hilo umeweka siku maalum ya ukumbusho kwa Ibrahim yaani sikukuu ya kuchinja yule aliyempa kuwa Baba wa Imani ndiye aliye tupa Yesu Kristo

WARAKA WA KWANZA WA YOHANA 5:1Kila mtu aaminiye kwamba Yesu ni kristo amezaliwa na Mungu,Na kila mtu ampendae mwenye kuzaa,ampenda hata yeye aliyezaliwa na yeye.

Itaendelea

By;Mwl Edward John

20/12/2019

SEHEMU YA 2 WAKRISTO WASIO JITAMBUA.
1.WARUMI 11:25 Kwa maana,ndugu zangu sipendi msiijue siri hii,ili msijione kuwa wenye akili;ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka utimilifu wa mataifa uwasili.

2.Mtumishi wa Mungu kanisani una watu wa aina gani? Je! wewe ni Mwanafunzi wa Yesu au Mlokole?

3. Swali;Ni kweli Kuna Yesu wa uongo!?
Jibu;ndiyo anaitwa bar-Yesu! Biblia inatuonyesha

4.MATENDO YA MITUME 13:6-10 Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo,wakaona mtu mmoja,mchawi,nabii wa uongo,myahudi jina lake Bar-Yesu

5.YOHANA 14:6Yesu akamwambia mm ndimi,njia,kweli,na uzima,mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya Mimi.
Unafikiri Kwa nn Mungu anasema hatumjui inawezekana tunamfuata Bar- Yesu anayetupoteza njia. WAGALATIA 3:1 Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaloga,ninyi ambao Yesu kristo aliwekwa wazi kwenu yakwamba amesurubiwa? fikra zetu zimepofushwa

6.2WAKOR 4:4 Ambao ndani yao Mungu wa dunia hii mepofusha fikira..

7.YEREMIA 9:12 Ni nani aliye na hekima apate kuelewa haya? Yohana 14:25-26. hayo ndiyo niliwaambia nilipokuwa nikikaa kwenu
26Lakini huyo msaidizi Roho mtakatifu ambae Baba atampeleka Kwa jina langu atawafundisha yote na kuwakumbusha yote niliyowaambia.

8.Yohana 13:35 hivyo watu wote watajua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu.

By;Mwlm Edward J

20/12/2019

UJINGA WA WALOKOLE AU WAKRISTO WASIO JITAMBUA WANAOZIDIWA AKILI NA WANYAMA.

1.ISAYA 1:3 Ng'ombe anamjua bwana wake, Na punda ajua kibanda cha bwana wake;
Bali Israel hajui,watu wangu hawafikiri.

2.Naam naomba tuanzie hapa watu mnaosema mnamjua Mungu na wenye akili.
Je! k**a una akili sawasawa na unauwezo wa kufikiri vzr unakubali vipi leo kuitwa Mlokole? (Mjinga)

3.Mtu wa Mungu mara ngapi Umefikiri na kufahamu juu ya chimbuko la neno hili walokole au unafurahi tu ukiambiwa walokole ni watu waliookoka kwa taarifa yako unafurahia kuitwa mjinga yaani mtu usiyejua kitu (usiye na akili)

4.Biblia inasema ktk HOSEA 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,

5.Kuwa Mkristo maana yake ni kuwa mtu wa Kristo(Mfuasi wa Yesu) Ikiwa hivyo basi tunatakiwa kumfuata yeye k**a wafuasi wake lakini kupokea maagizo yake na kuyatendea kazi sawasawa!
MATHAYO 28:19 ,Basi,enendeni ukawafanye mataifa yote kuwa Wanafunzi,

6.Jamani andiko la kututambulisha ss kuwa walokole limetoka wapi?
HOSEA 4:1 LIsikieni neno la BWANA,enyi wana Israeli kwa maana BWANA ana mateto nao wakaao katika nchi,kwa sababu hapana KWELI,wala Fadhili,wala KUMJUA MUNGU katika nchi
Itaendelea sehemu ya 2
By;Mwlm Edward

Address

Milbone Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when House of Miracle tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share