Kuhani Alfred Mng'anya

Kuhani Alfred Mng'anya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kuhani Alfred Mng'anya, Religious organisation, Mwananyamala, Dar es Salaam.

Parish priest at House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship Church, Under The Overseer .

πŸ“²Direct CallπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782

MZOZO KATI YA MWILI NA ROHO πŸ”₯Kuna vita inaendelea ndani yako.Mwili unatamani, lakini roho inakataa.Mwili unavuta chini, ...
06/05/2026

MZOZO KATI YA MWILI NA ROHO πŸ”₯
Kuna vita inaendelea ndani yako.
Mwili unatamani, lakini roho inakataa.
Mwili unavuta chini, roho inasukuma juu.

Hii si hali ya kawaida… ni mapambano ya hatima yako.

Ukifuata mwili, unapoteza mwelekeo.
Ukisimama na roho, unashinda vita usivyoonekana.

Watu wengi wanaanguka si kwa sababu hawana nguvu,
bali kwa sababu walichagua kusikiliza mwili kuliko roho.

Ni muda wa kufanya uamuzi.
Ni muda wa kurudisha mamlaka ya roho juu ya mwili.

Usikose ibada hii ya kipekee.
Hapa ndipo nguvu ya kushinda inatolewa.

πŸ“ Mwananyamala, Dar es Salaam
πŸ•” Saa 11:00 jioni | Alhamisi 6th MAY 2026
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ“²Direct Call The PriestπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782
'

30/04/2026

YESU PEKEE ndiye Tabibu wa Roho na Mwili wako.
Katika 3 KAVU, minyororo ya magonjwa, uchungu na vifungo vya kifamilia itavunjwa.
Hakuna jeraha lililo kubwa kuliko nguvu ya damu ya Kristo.

πŸ”₯ Karibu Madhabahuni ya JESUS ONLY β€” Hapa, uponyaji si hadithi, ni uhakika.
YESU PEKEE atakuinua, atakutakasa, na atakurejeshea uzima kamili. --- FT
'
Njoo upokee uponyaji wa mwili, amani ya moyo, na ufunguliwe njia zako kwa jina la YESU.
'
FT
'
πŸ“ Mwananyamala, Dar es salaam
πŸ—“ Kila | JUMANNE & JUMATANO | Saa 11 JIONI
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ“²Direct Call The PriestπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782
'

28/04/2026

USILIE SANA, SIMAMA JASIRI πŸ”₯
Maisha hayawapi nafasi wanaokata tamaa haraka.
Maisha huwajenga wanaosimama katikati ya dhoruba na kuendelea mbele.
Ukivuka majaribu ya uchumi, afya, kazi au ndoa yako, ujue wewe si wa kawaida.
Wewe ni mtu wa thamani anayepikwa kwa moto wa ushindi.
Sijawahi kuona mwenye haki ameachwa.
Zab 37:25 πŸ™
Njoo upokee uponyaji wa mwili, amani ya moyo, na ufunguliwe njia zako kwa jina la YESU.
'
FT
'
πŸ“ Mwananyamala, Dar es salaam
πŸ—“ Kila | JUMANNE & JUMATANO | Saa 11 JIONI
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ“²Direct Call The PriestπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782
'

23/04/2026

UPONYAJI NA UFUNGULIVU πŸ”₯
Kuna maumivu ambayo dawa haiwezi kugusa.
Kuna vifungo ambavyo nguvu za kawaida haziwezi kuvunja.
Kuna milango iliyofungwa ambayo ni Yesu pekee anaweza kuifungua.
'
Usikubali kubeba mzigo uliokuzidi.
Usikubali kuendelea na mateso kimya kimya.
Mahali pa maombi, minyororo huvunjika na maisha hubadilika.

22/04/2026

Omba sana, ILA...
Ukikataa kufanya kazi, utatoa nini?
Ukikataa kupambana, utainua nini?
Ukikataa jasho, utashuhudia nini?

Watu wengi wanataka mavuno bila kupanda mbegu.
Wanataka kufunguliwa bila kuwajibika.
Wanataka miujiza bila kujituma.

UNATOAJE SADAKA K**A HUNA KAZI? πŸ”₯... maombi bila hatua yanabaki maneno.
Sadaka ni ushahidi kuwa uliamini, ukafanya kazi, ukavuna, kisha ukamrudishia YESU heshima.

Hazina yako inalindwa pale moyo wako unapojifunza kutoa.
'
FT
'
πŸ“ Mwananyamala, Dar es salaam
πŸ—“ Kila | JUMANNE & JUMATANO | Saa 10 JIONI
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ“²Direct Call The PriestπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782
'

ALAMA ZA MISUMARI πŸ”₯Kuna alama si za kushindwa, ni za ushindi.Kuna majeraha si ya mwisho, ni ushuhuda wa upendo.Kuna misu...
21/04/2026

ALAMA ZA MISUMARI πŸ”₯

Kuna alama si za kushindwa, ni za ushindi.
Kuna majeraha si ya mwisho, ni ushuhuda wa upendo.
Kuna misumari iligonga mwili, lakini ilifungua wokovu wa wengi.

Alama za Yesu ni uthibitisho kuwa alikupigania mpaka mwisho.
Alichukua maumivu yako, huzuni yako, laana yako na mzigo wako.

Usiku huu njoo ukutane na neema inayobeba ushindi wa msalaba.
Mahali pa maombi, kilichokufa kinaweza kufufuka tena.
'
πŸ“ Mwananyamala, Dar es salaam
πŸ—“ JUMANNE ya LEO HII Saa 11 JIONI
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ“²Direct Call The PriestπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782
'

20/04/2026

UPONYAJI NA UFUNGULIVU πŸ”₯
'
Kuna maumivu ambayo dawa haiwezi kugusa.
Kuna vifungo ambavyo nguvu za kawaida haziwezi kuvunja.
Kuna milango iliyofungwa ambayo ni Yesu pekee anaweza kuifungua.
'
Usikubali kubeba mzigo uliokuzidi.
Usikubali kuendelea na mateso kimya kimya.
Mahali pa maombi, minyororo huvunjika na maisha hubadilika.
'
Njoo upokee uponyaji wa mwili, amani ya moyo, na ufunguliwe njia zako kwa jina la YESU.
'
FT
'
πŸ“ Mwananyamala, Dar es salaam
πŸ—“ Kila | JUMANNE & JUMATANO | Saa 11 JIONI
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ“²Direct Call The PriestπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782
'

20/04/2026

ft
"Tunauhakika na YESU tunayemuita Usiku na Mchana... Ukituletea Mtu Ambaye Wachawi, Washirikina au MaJini Wamemsukumiza Kwenye KIFO hata K**a zimesalia Dakika 15, Akikanyaga Katika Mazingira Yetu ya Maombi, Akija Lazima Arudi Katika Uzima Wake."
Usikubali kubeba mzigo uliokuzidi.
Usikubali kuendelea na mateso kimya kimya.
Mahali pa maombi, minyororo huvunjika na maisha hubadilika.
'
Njoo upokee uponyaji wa mwili, amani ya moyo, na ufunguliwe njia zako kwa jina la YESU.
'
FT MZEE wa YESU
'
πŸ“ Mwananyamala, Dar es salaam
πŸ—“ Kila | JUMANNE & JUMATANO | Saa 11 JIONI
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ“²Direct Call The PriestπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782
'

UPONYAJI NA UFUNGULIVU πŸ”₯'Kuna maumivu ambayo dawa haiwezi kugusa.Kuna vifungo ambavyo nguvu za kawaida haziwezi kuvunja....
19/04/2026

UPONYAJI NA UFUNGULIVU πŸ”₯
'
Kuna maumivu ambayo dawa haiwezi kugusa.
Kuna vifungo ambavyo nguvu za kawaida haziwezi kuvunja.
Kuna milango iliyofungwa ambayo ni Yesu pekee anaweza kuifungua.
'
Usikubali kubeba mzigo uliokuzidi.
Usikubali kuendelea na mateso kimya kimya.
Mahali pa maombi, minyororo huvunjika na maisha hubadilika.
'
Njoo upokee uponyaji wa mwili, amani ya moyo, na ufunguliwe njia zako kwa jina la YESU.
'
Kuhani Alfred Mng'anya FT
'
πŸ“ Mwananyamala, Dar es salaam
πŸ—“ Kila | JUMANNE & JUMATANO | Saa 11 JIONI
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ“²Direct Call The PriestπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782
'

18/04/2026

Sikukosea, Nilikuwa Sahihi...
NYUMBA HAIWEZI KUTAWALIWA na MWANAMKE
'
Njoo usikie na kuona Roho Mtakatifu akitenda kazi kupitia mtumishi wa Mungu... FT
'
πŸ“ Mwananyamala, Dar es salaam
πŸ—“ Kila | JUMANNE & JUMATANO | Saa 11 JIONI
βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–
πŸ“²Direct Call The PriestπŸ‘‡
0763827782 / 0784827782 / 0715 827782
'

Address

Mwananyamala
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kuhani Alfred Mng'anya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share