Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania

Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Dar es Salaam.

29/11/2021
https://www.facebook.com/1166262616738748/posts/4843831488981824/
18/11/2021

https://www.facebook.com/1166262616738748/posts/4843831488981824/

*TANGAZO LA SWALA YA ISTISQAA صلاة الاستسقاء*

Viongozi wa *Umoja Wa Wanazuoni Wa Kislaam Tanzania ( Hay-at)* kwa kushirikiana na viongozi kutoka taasisi mbalimbali za Kiislamu, k**a vile *Baraza Kuu, BASUTA, Alhikmah, Shura Ya Maimamu, Tampro, Markaz Tablighi, Umoja wa Wanashadhli n.k* katika kikao chetu cha pamoja hapo juzi tulikubaliana kuswali Swala ya kuomba mvua Siku ya Jumapili Nov 21, saa moja hadi saa tatu Asubuhi inshaallah katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam

Hivyo, kila Muislamu atakae pata taarifa hii anaombwa kujumuika na Waislamu wenzake katika ibada hii ya kumuomba Allah سبحانه وتعالى atuteremshie kutoka kwake mvua mzuri yenye kheri na baraka.

Ndugu yenu katika Imani *Ibrahim Ghulaam*
Katibu Mtendaji Hay_atul Ulamaa

*N.B:
*Kila atakaepata ujumbe huu anaombwa ausambaze kwa kadiri ya uwezo wake wote na amuombe Imamu wa Msikiti wake awatangazie taarifa hii Waislamu baada ya Swala ya Aljumaa Inshaallah

Tafadhali shere kwa wingi na wengine wapate taarifa hii
Ahsanteni

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=4773259899372317&id=1166262616738748
28/10/2021

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=4773259899372317&id=1166262616738748

SHEIKH GHULAAM AFIWA NA MWANAWE MCHANGA

INNAALILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIU'UN

إنا لله وإنا إليه راجعون

Kwa niaba ya Wasimamizi wote wa Ukurasa wetu huu wa Sheikh Ibrahim Ghulaam, tunachukua fursa hii kutoa pole kwa Sheikh wetu Sheikh Ibrahim Ghulaam kufuatia kifo cha mtoto wake mchanga

Mtoto huyo alizawa jana Jumatano akiwa amefariki na kuzikwa katika Makaburi ya Feruzi yaliopo Buguruni Ghana jijini Dar es Salaam

Tunamuomba Allah awape Subra Sheikh Ghulaam na familia yake na ajaalie mtoto huyo kuwa Muombezi atakae kubaliwa maombi yake na kuwa sababu ya wao kuingizwa Firdaus Aamiyn

By : Admins

اللهم اجعله ذخرًا لوالديه وفرطًا وشفيعًا مجابًا، اللهم أعظم به أجورهما، وثقل به موازينهما وألحقه بصالح سلف المؤمنين، واجعله في كفالة إبراهيم عليه الصلاة والسلام وقه برحمتك عذاب الجحيم.

24/09/2021
24/09/2021

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255658882212

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share