Mwenge Fpct Church

Mwenge Fpct Church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwenge Fpct Church, Pentecostal Church, ITV MWENGE DAR ES SALAAM, Dar es Salaam.

Karibu leo katika semina ya wanaume ili kujifunza mambo mbalimbali yamhusuyo mwanaume.
29/10/2023

Karibu leo katika semina ya wanaume ili kujifunza mambo mbalimbali yamhusuyo mwanaume.

Ibada ya Jumapili FPCT MWENGE (GGH) Tarehe 27/08/2023
29/08/2023

Ibada ya Jumapili FPCT MWENGE (GGH) Tarehe 27/08/2023

Karibu IJUMAA hii tujifunze kuhusu KIJANA NA USAFI. Ni namna gani kijana Mkristo anaweza kujiweka msafi. Usikose IJUMAA ...
16/08/2023

Karibu IJUMAA hii tujifunze kuhusu KIJANA NA USAFI. Ni namna gani kijana Mkristo anaweza kujiweka msafi. Usikose IJUMAA hii, mkaribishe na mwenzako.
Speaker: Mama Mchungaji Dorothy Nkone

Karibu katika kipindi cha Vijana "MASWALI NA MAJIBU". Tutakuwa na baba yetu Rev.David Nkone  akitoa majibu ya maswali. U...
10/08/2023

Karibu katika kipindi cha Vijana "MASWALI NA MAJIBU". Tutakuwa na baba yetu Rev.David Nkone akitoa majibu ya maswali. Usipange kukosa, mwalike na mwenzako.

05/06/2023

Karibu katika kongamano kubwa la Wanaume Wautafutao Uso wa Bwana.
Njoo Ujifunze mambo mbalimbali yamhusuyo mwanaume ambayo Mungu anahitaji uyafahamu

Kilele cha wiki ya Wanawake kitaifa FPCT. Ilivyohitimishwa hapa FPCT MWENGE (GGH) Tarehe 23/04/2023.
26/04/2023

Kilele cha wiki ya Wanawake kitaifa FPCT. Ilivyohitimishwa hapa FPCT MWENGE (GGH) Tarehe 23/04/2023.

*WIKI HII KATIKA KIPINDI CHA VIJANA*Tutakuwa na Bible Discussion ya Pamoja kuhusu *Uhalisia wa kitabu cha Kutoka kwenye ...
01/12/2022

*WIKI HII KATIKA KIPINDI CHA VIJANA*

Tutakuwa na Bible Discussion ya Pamoja kuhusu *Uhalisia wa kitabu cha Kutoka kwenye maisha ya mwamini*

Tutaangalia:
✅ Maisha ya Wanawaisrael yanauhalisia gani na maisha ya Mkristo wa sasa?
✅Changamoto gani walikutana nazo wanawaisrael kutokana na makosa yao wenyewe?
✅Je, Changamoto gani tunakumbana nazo kutokana na sisi wenyewe?
✅Vitu gani unajifunza kwa Musa k**a kiongozi wa Wana waisrael?.
✅Kiongozi aliyeokoka anapaswa kuwa na sifa gani ukihusianisha na Musa na Haruni?
✅Fanya tathmini ya Kijana wa Kikristo na Changamoto zake katika maisha ya sasa na unadhani mbinu gani zitamtoa ukihusianisha na safari ya Wana waisrael?

NOTE:
Fanya survey ya kitabu cha Kutoka tukifika tutakuwa na sharing ya pamoja.

Barikiwa sana!

Usipange kukosa!

Address

ITV MWENGE DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam
12

Telephone

+255754768506

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwenge Fpct Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwenge Fpct Church:

Share