The Greater Light of Glory

The Greater Light of Glory This page dedicated to those with deep and sincere hunger for The Knowledge of God, to live & Shine by design not by default (Mat 5:14-16 Isa 60:1)

The word of God is the light showing us the way amidst hills, thick and thins, as well as the darkness of this world. In the current world where the media and other information sources manipulates people's choices to extremes, the Light of the Word of God is the only assurance you can have for making right choices before God and the people around you.

06/05/2026

Kuhusu Maisha ya Imani.

22/04/2026

Zaburi 145:3-7
BWANA ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hautambulikani.
Great is the LORD, and greatly to be praised; and his greatness is unsearchable.
Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako, Kitayatangaza matendo yako makuu.
One generation shall praise thy works to another, and shall declare thy mighty acts.
Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu.
I will speak of the glorious honour of thy majesty, and of thy wondrous works.
Watu watayataja matendo yako ya kutisha, Nami nitausimulia ukuu wako.
And men shall speak of the might of thy terrible acts: and I will declare thy greatness.
Watalihubiri kumbukumbu la wema wako mkuu. Wataiimba haki yako.
They shall abundantly utter the memory of thy great goodness, and shall sing of thy righteousness.

03/01/2026

In 2026,

👉you shall be protected by God.
👉 God will help you
👉 You shall be covered by the God
👉 God himself will be with you all times
👉 You will be greatly favoured by God

22/10/2025
14/12/2024

HOW TO EXPERIENCE THE MANIFEST PRESENCE OF GOD

07/09/2024

Kutenda vema;
1. Ni kufanya mambo Mazuri yanayo kubalika kwa namna nzuri
2. Ni kufanya mambo yanayoonesha wewe ni mtu mwenye maadili mema, uliyelelewa vizuri.
3. Ni kufanya mambo yenye thamani kwa jamii.

Wagalatia 6:9 "Basi, tusichoke kutenda mema; maana tusipolegea tutavuna mavuno kwa wakati wake."

07/09/2024

As a parent, be the first follower of what your children are doing, check if they are doing it better than you did at their age...

07/09/2024

The Power of the Holy Spirit is the power to become better, new, amazing, a wonder, a proof of Gods Transforming Grace.

07/09/2024

Unaweza ukatenda mambo mema lakini usiyatende vema. mambo mema yasipotendwa vema hayazai.

07/09/2024

Usipojua una nini cha kutoa kwa ulimwengu be sure watoto wako watakuwa watumwa na watauzwa
2 Fal 4:1 -7

07/09/2024

Ukisha kuwa mtu mzima, the world rewards you on the basis of what you give, usipokuwa na kitu cha ulichozaa hupati kitu
Luke 6:38

Address

Mwananyamala
Dar Es Salaam
6903

Telephone

+255682305637

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Greater Light of Glory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Greater Light of Glory:

Share