Tag Sinai Revival Church - Yombo, Makangarawe

Tag Sinai Revival Church - Yombo, Makangarawe Karibu katika ukurasa wa Kanisa la Tag Sinai Revival Church - Yombo, Makangarawe.

Wapishi hawakuwa nyuma katika sikukuu ya WWK SRC
02/03/2025

Wapishi hawakuwa nyuma katika sikukuu ya WWK SRC

Mwenyekiti wa wa WWK SRC
02/03/2025

Mwenyekiti wa wa WWK SRC

Bwana Yesu Asifiwe!, Mwangalizi wa Section ya Yombo & Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Sinai Revival Church anawatakia  h...
31/12/2024

Bwana Yesu Asifiwe!, Mwangalizi wa Section ya Yombo & Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Sinai Revival Church anawatakia heri ya mwaka mpya na wenye baraka.

Mwangalizi wa Section ya Yombo & Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Sinai Revival Church BURTON MGOWOLE anawatakia Christma...
24/12/2024

Mwangalizi wa Section ya Yombo & Mchungaji Kiongozi wa kanisa la Sinai Revival Church BURTON MGOWOLE anawatakia Christmas Njema na yenye baraka.

Matukio mbalimbali ya kanisa la Tag Sinai Revival Church katika sikukuu ya kuwategemeza wachungaji kitaifa ambayo ufanyi...
02/12/2024

Matukio mbalimbali ya kanisa la Tag Sinai Revival Church katika sikukuu ya kuwategemeza wachungaji kitaifa ambayo ufanyika kila mwezi wa 12 kwa kila kanisa la Tag.

Bwana Yesu Asifiwe!, Kanisa la TAG SINAI REVIVAL CHURCH MAKANGARAWE tunakukaribisha kwenye ibada ya jumapili ya tarehe 0...
02/08/2024

Bwana Yesu Asifiwe!,
Kanisa la TAG SINAI REVIVAL CHURCH MAKANGARAWE tunakukaribisha kwenye ibada ya jumapili ya tarehe 04/08/2024. Karibu tufurahi pamoja kwa matendo makuu aliyotutendea Mungu wetu. Kwaya na Waimbaji mbalimbali wataimba. Walete wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa. Mahali kanisani Tag Src Yombo, Makangarawe.

Kanisa la Tag Sinai Revival Church Makangarawe chini ya Mchungaji Kiongozi Burton Mgowole. Tunakukaribisha sana " Karibu...
01/08/2024

Kanisa la Tag Sinai Revival Church Makangarawe chini ya Mchungaji Kiongozi Burton Mgowole. Tunakukaribisha sana " Karibu tumuabudu Mungu wa kweli". Jumatano ibada kuanzia saa 10:00 Jioni, Ijumaa kuanzia saa 10:15 Jioni na Jumapili kuanzia Saa 12:30 Alfajiri

Kanisa la Tag Sinai Revival Church Makangarawe. Karibu sana tumuabudu Mungu wa kweli. Jumatano ibada kuanzia saa 10:00 J...
01/08/2024

Kanisa la Tag Sinai Revival Church Makangarawe. Karibu sana tumuabudu Mungu wa kweli. Jumatano ibada kuanzia saa 10:00 Jioni, Ijumaa kuanzia saa 10:15 Jioni na Jumapili kuanzia Saa 12:30 Alfajiri

Kanisa la Tag SRC - Makangarawe tunakukaribisha kwenye Mkutano Mkubwa wa Injili. Utakaofanyika kuanzia tarehe  19 hadi 2...
16/07/2024

Kanisa la Tag SRC - Makangarawe tunakukaribisha kwenye Mkutano Mkubwa wa Injili. Utakaofanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21/7/2024. Muda ni kuanzia saa 9:00 Alasiri. Kwaya na Waimbaji mbalimbali watakuwepo. Wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa.
Mahali: Tag Sinai Revival Church - Makangarawe. Watu wote Mnakaribishwa

Address

Makangarawe, Dar Es Salaam Near Alex Makuku
Dar Es Salaam
4862

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 06:30 - 18:00

Telephone

+255754520456

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tag Sinai Revival Church - Yombo, Makangarawe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tag Sinai Revival Church - Yombo, Makangarawe:

Share