CAG KCM

CAG KCM Calvary Assemblies of God (CAG)
We preach the pure and unadulterated word of God and emphasize the holiness which no man will see the Lord without it.

“K**a si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,”‭‭Zab‬ ‭124‬:‭1‬ ‭SUV‬‬Blessed week ahead.
23/01/2023

“K**a si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,”
‭‭Zab‬ ‭124‬:‭1‬ ‭SUV‬‬

Blessed week ahead.

Wewe ni Mungu wa Kweli, U Mwema, tunakuabudu.
15/01/2023

Wewe ni Mungu wa Kweli, U Mwema, tunakuabudu.

Kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa senior pastor Imelda. Tunakupenda, Tunakuheshimu, wewe ni Baraka. Mbariki mama ye...
04/01/2023

Kheri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa senior pastor Imelda. Tunakupenda, Tunakuheshimu, wewe ni Baraka.

Mbariki mama yetu kwa maneno katika comment👇🏽

Tunamaliza 2022 na kuanza 2023 kwa Shangwe. Usikose mkesha kesho saa 3:30 usiku mpaka saa 6:30 usiku. Njoo uvuke kwa sif...
30/12/2022

Tunamaliza 2022 na kuanza 2023 kwa Shangwe. Usikose mkesha kesho saa 3:30 usiku mpaka saa 6:30 usiku. Njoo uvuke kwa sifa na kuabudu.


““Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli” (maana yake, “Mungu yuko nasi”).”‭‭Mathayo‬...
24/12/2022

““Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli” (maana yake, “Mungu yuko nasi”).”
‭‭Mathayo‬ ‭1‬:‭23‬ ‭BHN‬‬

Usikose Ibada ya kusherekea kumbukizi ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Kuzaliwa kwake kuna maana gani kwetu? Njoo na rafiki.

   with .repost・・・"Kubwa ni kuliombea Taifa letu la Tanzania. Kwa niaba ya halmashauri Kuu ya Kanisa la Calvary Assembly...
30/11/2022

with .repost
・・・
"Kubwa ni kuliombea Taifa letu la Tanzania. Kwa niaba ya halmashauri Kuu ya Kanisa la Calvary Assembly of God Tanzania ambalo lina zaidi ya Maaskofu 30 na makatibu wake tulikaa kikao November 10, 2022 na tulidhamilia ya kwamba twende kwa Watanzania tuwajulishe kwa mambo ambayo tumekuwa tukiyafanya zaidi ya miaka 30 ya kuliombea Taifa letu.

K**a Kanisa tumejipanga tuwe na maombi ya Siku tatu ya kuomba kwa ajili ya Taifa letu kuanzia kesho Desemba Mosi, Mbili na Tatu 2022. Tunaombea Taifa letu mwezi huo wa 12 Kwa sababu Taifa Letu (Tanzania Bara) lilipata Uhuru wake mwezi Desemba. Pia mwezi huu Una mambo mengi wapo wanaosafiri kutoka sehemu Moja kwenda nyingine. Tunaombea kwa ajili ya usalama, madereva wawe makini Mungu awasaidie na ajali ziishe" Askofu Mathew Maduhu, Katibu Mkuu wa Makanisa Carivary assembly of God Tanzania


Wababa katika umisheni.“Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.”‭‭Mk‬ ‭16‬:‭15‬ ‭SUV‬...
26/11/2022

Wababa katika umisheni.

“Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.”
‭‭Mk‬ ‭16‬:‭15‬ ‭SUV‬‬

Tazama ilivyo vyema na kupendeza, ndugu wakae pamoja kwa umoja.
26/11/2022

Tazama ilivyo vyema na kupendeza, ndugu wakae pamoja kwa umoja.


Fikra za binadamu hutofautiana na ufahamu alionao. Vita na Mafanikio yoyote huanzia katika fikra. Tunaweza kutambua ulic...
10/11/2022

Fikra za binadamu hutofautiana na ufahamu alionao. Vita na Mafanikio yoyote huanzia katika fikra. Tunaweza kutambua ulichobeba kila ukiongea/ kutenda kutokana na fikra zako.

Karibu katika semina ya ukombozi wa fikra. Njoo ubadilishwe na Roho Mtakatifu kupitia watumishi wake; Askofu mkuu Maboya na Mtume Chris kutoka Kenya.

Semina inaanza rasmi leo kuanzia saa 10:30 jioni. Njoo na rafiki.

Shalom watu wa Mungu usipange kukosa Ibada ya kesho,ni Ibada maalum ya kuombea Taifa letu na Familia.Tutakuwa na Ibada m...
15/10/2022

Shalom watu wa Mungu usipange kukosa Ibada ya kesho,ni Ibada maalum ya kuombea Taifa letu na Familia.

Tutakuwa na Ibada moja tu kuanzia saa tatu kamili asubuhi jitahidi kuwahi , usisahau kuwakaribisha na wageni, ndugu, jamaa na marafiki

Tutakuwa Live kupitia channel yetu ya YouTube (link kwa bio)

Mungu Akubariki sana kwa ukarimu wako wa kukaribisha wageni.

Tunampongeza mtoto wetu Naomi kwa kufaulu vyema katika masomo yake. Biblia inasema mkamate sana elimu usimuache aende za...
13/10/2022

Tunampongeza mtoto wetu Naomi kwa kufaulu vyema katika masomo yake. Biblia inasema mkamate sana elimu usimuache aende zake (Mithali 4:13)

Leo Katika Duru ya III ya Mahafali Ya 52 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Bi.Naomi Tundui aliyehitimu Digrii ya Sayansi ya Bachelor of Science in Actuarial Sciences ndiye ametangazwa kuwa Mwanafunzi bora Mwenye Ufaulu wa Juu Zaidi Kupita wahitimu wote baada ya kupata GPA ya 4.8.

“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili y...
12/10/2022

“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli.”
‭‭1 Tim‬ ‭2:1-4‬ ‭SUV‬‬

Usikose!

Address

Kanisa La Chuo Cha Manabii (CAG)
Dar Es Salaam
14115

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CAG KCM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share