Kuhani Musa

Kuhani Musa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kuhani Musa, Religious organisation, Kimara Temboni Dar es salaam TZ, 55143, Dar es Salaam.
(3)

Karibu kwenye ukurasa rasmi wa Facebook wa Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha wa Kanisa la Fresh Spring Fellowship Church Tanzania lililoko Kimara Temboni Dar es Salaam, Tanzania

Jumanne hii tunakutana katika maombi ya mtu mmoja mmoja, tukinuomba Mungu aondoe kila mzizi wa kukataliwa, kuvunjika moy...
07/09/2026

Jumanne hii tunakutana katika maombi ya mtu mmoja mmoja, tukinuomba Mungu aondoe kila mzizi wa kukataliwa, kuvunjika moyo, kunyimwa nafasi na kucheleweshwa kwa hatima yako.

Kwa kuguswa na Mafuta ya Kibali, tunaamini Mungu atakufungulia mlango wa kukubalika, kukumbukwa na kuthaminiwa. Na kwa imani, utapokea JIWE JEUPE ukitangaza mwanzo wa sura mpya katika maisha yako.

📖 “Nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya…” — Ufunuo 2:17

Wiki hii ikawe ya baraka, neema, ulinzi na ushuhuda katika maisha yako. kila mpango wa adui dhidi yako hautafanikiwa.Kua...
07/09/2026

Wiki hii ikawe ya baraka, neema, ulinzi na ushuhuda katika maisha yako. kila mpango wa adui dhidi yako hautafanikiwa.
Kuanzia leo Baraka za Yesu ziambatane nawe, Mungu akulinde dhidi ya watu wabaya, na akuongoze kuelekea kwenye hatma yako.

“BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele..” — Zaburi 121:7-8

06/09/2026

Jumanne hii ni ibada maalumu ya Mafuta ya Kibali na ya kuondolewa roho ya kukataliwa, iliyopandikizwa tangu tumboni mwa mama yako

06/09/2026

Utukufu wote ni kwa Yesu Kristo.

06/09/2026

nyumba yoyote iliyozindikwa ni madhabahu ya kizimu.

Tunamshukuru Mungu kwa kuwahudumia watu wake! Tumemuona Mungu kwa namna ya ajabu, na tumeshuhudia mkono wake ukitenda ma...
06/09/2026

Tunamshukuru Mungu kwa kuwahudumia watu wake! Tumemuona Mungu kwa namna ya ajabu, na tumeshuhudia mkono wake ukitenda mambo makuu.

Jambo moja ninajua Jumapili ya leo si Jumapili ya kawaida katika maisha yako. Na iwe mwanzo wa ushuhuda mpya, mwanzo wa mambo makubwa, mwanzo wa milango kufunguka na mwanzo wa kuona kile ambacho umekuwa ukikiombea kwa muda mrefu.

Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayany...
06/09/2026

Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.” — Mithali 3:5–6

Katika dunia yenye sauti nyingi, mshikilie Mungu na Neno lake. Maana Neno lake halitakuonyesha tu unachotaka kusikia, ba...
06/09/2026

Katika dunia yenye sauti nyingi, mshikilie Mungu na Neno lake. Maana Neno lake halitakuonyesha tu unachotaka kusikia, bali litakuonyesha njia unayopaswa kuifuata.

Biblia inasema: “Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.” — Mithali 3:5–6.

Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; k**a sivyo, nin...
06/09/2026

Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; k**a sivyo, ningaliwaambia

06/09/2026

Mwanamke ni sadaka ya Mungu kwenye maisha ya Mwanaume.

Address

Kimara Temboni Dar Es Salaam TZ, 55143
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kuhani Musa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share