King's Touch Church Kiswahili

King's Touch Church Kiswahili Tawi la - Kugusa jamii na Kuhubiri Injili ya Yesu Kristo kila siku na kila mahala.

Tumefurahi kuabudu pamoja Jumapili ya leoSomo: Karama uliyopewa na MunguKaribuni sana wiki ijayo tumwabudu Mungu pamoja
07/06/2026

Tumefurahi kuabudu pamoja Jumapili ya leo

Somo: Karama uliyopewa na Mungu

Karibuni sana wiki ijayo tumwabudu Mungu pamoja

31/05/2026
Kanisa la King's Touch tunakukaribisha katika ibada yetu ya jumapili hapo kesho, tutakopojifunza neno la Mungu na kuwa n...
30/05/2026

Kanisa la King's Touch tunakukaribisha katika ibada yetu ya jumapili hapo kesho, tutakopojifunza neno la Mungu na kuwa na ushirika nae kwa namna ya ajabu sana!

Mkaribishe ndugu, jamaa na rafiki zako na Mungu akubariki sana!

πŸ“… Jumapili, Mei 31, 2026.
⏰ Saa 3 kamili asubuhi.
Millennium towers 2, ghorofa ya kwanza.

Hongera kwa kujumuika nasi katika ibada ya Jumapili ya kusifu na kuabudu.Karibu tena wiki ijayo tumsifu Mungu na kumuabu...
24/05/2026

Hongera kwa kujumuika nasi katika ibada ya Jumapili ya kusifu na kuabudu.

Karibu tena wiki ijayo tumsifu Mungu na kumuabudu, tukijifunza kwa pamoja.

Ibada inayoanza saa 5:00 asubuhi.

Mungu akubariki na uwe na wiki njema.

Kanisa la King's Touch tunakubaribisha wewe pamoja na ndugu, jamaa, na marafiki zako katika ibada yetu ya jumapili hapo ...
23/05/2026

Kanisa la King's Touch tunakubaribisha wewe pamoja na ndugu, jamaa, na marafiki zako katika ibada yetu ya jumapili hapo kesho itakayoanza saa tatu kamili asubuhi!

Njoo na matarajio makubwa ya kumuona Mungu akishughulika na maisha yako, na kwa uhakika utabarikiwa sana..

πŸ“… Jumapili, Mei 24, 2026.

⏰ Saa 3 kamili asubuhi.

Millenium towers 2, Ghorofa ya 1

πŸŽ‰πŸŽ‚ Heri ya siku ya Kuzaliwa Pastor Hilda Tineishemo! πŸŽ‚πŸŽ‰@Leo tunasherehekea uaminifu wa Mungu katika maisha yako. Maisha ...
18/05/2026

πŸŽ‰πŸŽ‚ Heri ya siku ya Kuzaliwa Pastor Hilda Tineishemo! πŸŽ‚πŸŽ‰@

Leo tunasherehekea uaminifu wa Mungu katika maisha yako. Maisha yako ni ushuhuda wa wema na uaminifu wa Mungu.

Asante kwa kujitoa kwako, upendo wako kwa watu wa Mungu, na kujitolea kwako katika kuendeleza Ufalme wa Mungu. Hakika kweli wewe ni baraka kwa wengi!

πŸ™ Tunakuombea mwaka huu mpya wa maisha ukuletee ushindi zaidi, kibali cha Mungu na furaha tele. Mungu aendelee kukutia nguvu na kukuinua zaidi katika huduma yako.

πŸ’ Tunakuheshimu. Tunakusherehekea. Tunakupenda!

King’s Touch Church Kiswahili

Kanisa la King's touch tunakukaribisha kujumuika nasi hapo kesho katika ibada yetu ya jumapili, tutakapomuabudu Mungu na...
16/05/2026

Kanisa la King's touch tunakukaribisha kujumuika nasi hapo kesho katika ibada yetu ya jumapili, tutakapomuabudu Mungu na kuwa na ushirika naye kwa viwango vya tofauti!

Njoo na shauku, pia mkaribishe rafiki na Mungu akubariki!

πŸ“… Jumapili, Mei 17, 2026.

⏰ Saa 3 kamili asubuhi.

Millennium towers 2, Ghorofa ya kwanza.

Heri ya Siku ya Mama kwa kina mama wote wa ajabu na wenye thamani! 🌷Leo tunasherehekea upendo wenu, nguvu zenu, maombi y...
10/05/2026

Heri ya Siku ya Mama kwa kina mama wote wa ajabu na wenye thamani! 🌷

Leo tunasherehekea upendo wenu, nguvu zenu, maombi yenu, kujitoa kwenu, na malezi mnayotoa kwa familia na vizazi. Roho yenu ya huruma na uangalizi inaonyesha moyo wa Mungu, na mchango wenu hauwezi kuelezewa kwa maneno pekee.

β€œWatoto wake huinuka na kumwita heri…” β€” Mithali 31:28 πŸ™πŸΎ

Mungu aendelee kuwapa nguvu, heshima, na kuwabariki kwa wingi kina mama wote. Asanteni kwa kuwa vyombo vya upendo, hekima, na neema. πŸ’–

Heri ya Siku ya Mama kutoka kwetu sote Kanisa la King’s Touch!

Kesho Jumapili, Kanisa la King's Touch tunakukaribisha katika ibada yetu ambapo tutamsifu na kumuabudu Mungu na kujifunz...
09/05/2026

Kesho Jumapili, Kanisa la King's Touch tunakukaribisha katika ibada yetu ambapo tutamsifu na kumuabudu Mungu na kujifunza neno lake!

Karibu ukiwa na kiu na matarajio ya kumuona Mungu, mkaribishe rafiki na Mungu akubariki.

πŸ“… Jumapili, Mei 10, 2026.

⏰ Saa tatu kamili asubuhi.

Millennium towers 2, Ghorofa ya kwanza

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

11:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when King's Touch Church Kiswahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category