Afroshia Muslim Community

Afroshia Muslim Community Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afroshia Muslim Community, Religious organisation, Dar es Salaam.

04/07/2024
Gharama zetu ni nafuu sana wasiliana na sisi huweze kuchangia Sadaqah hii kwa ajili yako, Mogonjwa, Marhumeen wako.Hudum...
30/06/2024

Gharama zetu ni nafuu sana wasiliana na sisi huweze kuchangia Sadaqah hii kwa ajili yako, Mogonjwa, Marhumeen wako.
Huduma hii tunaifanya Tabora vijijini ni baada ya kuona changamoto ya maji ni kubwa zaidi.
Piga / WhatsApp
+255714987815

This MUHARRAM you  can honor Imam Hussain (a.s) by helping us provide cleaan WATER to  those who need it most. Your DONA...
30/06/2024

This MUHARRAM you can honor Imam Hussain (a.s) by helping us provide cleaan WATER to those who need it most. Your DONATIONS can help the people to overcome the water crisis and create real change on the ground.

Miradi ya maji tunayoifanya vijijini imekuwa na chachu kubwa kwa jamii hasa vijijini, visima vyetu vimeweza kuwasaidia w...
18/06/2024

Miradi ya maji tunayoifanya vijijini imekuwa na chachu kubwa kwa jamii hasa vijijini, visima vyetu vimeweza kuwasaidia wakulima wadogo kulima mazao ya mbogamboga na kujipatia vipato mbali na vipato visima vimiweza kutatua changamoto ya maji idadi kubwa ya watu wamekuwa wakitumia maji yasiyo salama kwa ajili ya kunywa na kupika hali iliyopelekea kuugua magonjwa yanayotokana na matumizi ya maji machafu, kupitia huduma hii tumekuwa wakombozi wa kubwa tukishirikiana na wadau mbalimbali.

"Unaweza kuchangia hii huduma kupitia sisi ripoti ya Sadaqah ni haki yako kuanzia uchimbaji mpaka makabidhiano ni wajibu wetu kukupatia."

Namba ya Kuchangia
*airtelmoney*
+255696708485
ASHURAA HUMAN CHARITY TANZANIA.

Lipa Namba:
13011417
ASHURAA HUMAN CHARITY TANZANIA.

Mawasiliano:/ WhatsApp
+255714987815
IBRAHIM MPILIPILI

Email:
[email protected]

12/06/2024

09/06/2024
Sayyed Muhdhar Idarus ahudhuria Halmashauri kuu na mkutano mkuu wa ccm ukiongozwa na katibu mkuu wa ccm Taifa  Jijini Ta...
09/06/2024

Sayyed Muhdhar Idarus ahudhuria Halmashauri kuu na mkutano mkuu wa ccm ukiongozwa na katibu mkuu wa ccm Taifa Jijini Tanga Tanzania,Lengo kudumisha Umoja na mshikamano baina ya viongozi wa Dini na vyama vya siasa,Kwa kuhubiri maendeleo ya jamiii.

Tunaomba tushirikiane katika Project hii kwa ajili ya kuwapa matumaini mapya ndugu zetu wa vijijini, Unaweza kununua mwe...
02/06/2024

Tunaomba tushirikiane katika Project hii kwa ajili ya kuwapa matumaini mapya ndugu zetu wa vijijini, Unaweza kununua mwenyewe ukatupatia au ukachangia kiasi chochote ulichokuwa nacho.

Unaweza kutoa Sadaka hii kwa Nia ya Mgonjwa wako, Marehemu wako au mambo yako binafsi kwa ajili ya kuwasaidia wazee wetu huko vijijini pindi watakapokuwa wanapata mwangaza kutokana na mchango wako na wewe utakuwa ni mwenye kuchuma kheri Insha'Allah.

"Tunapokea Sadaka zinazotolewa kwa Ikhlas."

Mawasiliano:
+255714987815
Ibrahim Mpilipili

Solar Power ProjectsDonate Now!*airtelmoney*+255696708485ASHURAA HUMAN CHARITY TANZANIA.Lipa Namba:1311417ASHURAA HUMAN ...
02/06/2024

Solar Power Projects
Donate Now!
*airtelmoney*
+255696708485
ASHURAA HUMAN CHARITY TANZANIA.
Lipa Namba:
1311417
ASHURAA HUMAN CHARITY TANZANIA.
Cont or WhatsApp:
+255714987815

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afroshia Muslim Community posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share