EWC FPCT Kijichi

EWC FPCT Kijichi EWC means El-Gibor Worship Center so come and truely worship the Almighty God.

26/08/2021

KARIBU KATIKA IBADA YA KILINDI HAPA EWC FPCT KIJICHI

23/07/2021

KARIBU KATIKA IBADA YA KILINDI MWEZI HUU TAREHE 25 NI JUMAPILI HII

KARIBUNI NYOOTE
23/07/2021

KARIBUNI NYOOTE

EWC FPCT KIJICHI ina mshukuru Mungu wa Mbingu na Nchi kwa kupata PA system mpya kabisa ya kisasa ambaya muda si mrefu it...
02/12/2019

EWC FPCT KIJICHI ina mshukuru Mungu wa Mbingu na Nchi kwa kupata PA system mpya kabisa ya kisasa ambaya muda si mrefu itaanza kutumika kanisani.

SIO YA KUKOSA KARIBUNI NYOOTE
24/06/2019

SIO YA KUKOSA KARIBUNI NYOOTE

Napenda kuwakaribisha wanawake wote wa jijini la Dar. Kwenye Konferensi kubwa ya wanawake, itakayofanyika EL-GIBBOR WORS...
08/07/2018

Napenda kuwakaribisha wanawake wote wa jijini la Dar. Kwenye Konferensi kubwa ya wanawake, itakayofanyika EL-GIBBOR WORSHIP CENTRE (EWC) FPCT KIJICHI Temeke Dar es Salaam. KONFERENSI hii Itahudumiwa na mtumishi aitwaye NCIKI MATSHIYANE kutoka Afrika Kusini. Tafadhali usipange kukosa. Konferensi itaanza tar. 19 hadi 22 saa kumi kamili jioni kila siku hadi saa kumi na mbili jioni. Hivi unakosaje? Njoo usimwache jirani, rafiki, jamaa yako wa karibu. Kongamano litakufanya ubadikike, kiroho, kiuchumi, kiujasiria mali n.k. Mungu akubariki sana.
Share tangazo hili na wengine wafahamu.

EWC VIJANA PRESENTS Imeandaa get together party ya vijana wote wa kanisa la EWC FPCT KIJICHI,itakayofanyika jumapili jio...
08/12/2017

EWC VIJANA PRESENTS
Imeandaa get together party ya vijana wote wa kanisa la EWC FPCT KIJICHI,itakayofanyika jumapili jioni ya tarehe 24 DEC 2017 ni party ya kufungia mwaka ya aina yake.
Kutakuwa na mambo kedekede yatakayofanywa na vijana wakionesha vipaji vyao.
Ukiihitaji kushiriki nasi karibu sana na Mungu akubariki.

Mt.ISRAEL KIJIKAEWC FPCT KIJICHI, DSM.SOMO:KUJUA NJIA KUTOKA KWA MUNGU KUNALETA MAFANIKIO KATIKA  MAISHA YETU.Uelekeo wa...
27/08/2017

Mt.ISRAEL KIJIKA
EWC FPCT KIJICHI, DSM.
SOMO:KUJUA NJIA KUTOKA KWA MUNGU KUNALETA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YETU.
Uelekeo wa kiroho uliowazi kutusaidia kukwepa vizuizi vinavyoweza kutokea ktk maisha yetu.
Kutoka 33:12-17
Zaburi 103:7
Zaburi 32:8
Zaburi 25:14
Isaya 48:17
Mithali 14:23

JINSI YA KUPATA NJIA YA KIMUNGU
1.Maombi
2.Neno la Mungu
3.Watumishi wa Mungu
4.Roho Mtakatifu

Faida za kujua njia za Mungu
1.Kunarahisisha kujua niwapi unakoelekea
ii.Sam 5:17-25
2.Kunarahisisha kujua ni nini cha kufanya
ii.Nyakati 20:1-6 12, 16
3.Kunarahisisha kufanya mambo Kwa uhakika Yohana 8: 21-30
Luka5:36
Mathayo14:23
Marko1:35
Luka6:12

ATHARI ZA KUTOKUJUA NJIA TOKA MUNGU
1.Ni rahisi kukusa muelekeo ktk maisha
Muhubiri10:15
2.Ni rahisi k
Mithali 22:5

Mchungaji kiongozi wa EWC FPCT KIJICHI Joseph A. Malumbu akifundisha kondoo za BWANA YESU KRISTO katika ibada ya jumapil...
24/08/2017

Mchungaji kiongozi wa EWC FPCT KIJICHI Joseph A. Malumbu akifundisha kondoo za BWANA YESU KRISTO katika ibada ya jumapili.

Karibuni katika Ibada ya Jumapili kwa moyo wa sifa na shukrani mbele za Mungu. Zaburi 100:4Welcome to the Sunday's servi...
06/08/2017

Karibuni katika Ibada ya Jumapili kwa moyo wa sifa na shukrani mbele za Mungu. Zaburi 100:4

Welcome to the Sunday's service with a heart of praise and Thanksgiving towards God. Psalms 100:4

Mchungaji  Israel Kijika  akihubiri katika ibada "Tambua thamani ya wokovu wako"Maandiko.LUKA 15:11:321.Dbambi zetu zime...
25/06/2017

Mchungaji Israel Kijika akihubiri katika ibada "Tambua thamani ya wokovu wako"
Maandiko.
LUKA 15:11:32
1.Dbambi zetu zimesamehewa na Mungu hazukumbuki tena.
ISAYA 43:25
ZABURI 103:12
2.Tumepokea uzima wa milele ndani yetu.
YOHNA 3:8 ,36
3.Hatutapotea kamwe tukiwa mikononi mwa Bwana Yesu.
YOHANA 10:28-29.

Address

Mtoni Kijichi
Dar Es Salaam
41557

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EWC FPCT Kijichi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share