Maranatha christian center-MCC

Maranatha christian center-MCC AYUBU 42:2
Najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote, Na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuilika.

SUNDAY SERVICE RECAP. We welcome you to worship with us here at T.A.G Maranatha christian center-MCC
10/08/2026

SUNDAY SERVICE RECAP.

We welcome you to worship with us here at T.A.G Maranatha christian center-MCC

A Sunday to remember.  God's presence was evident, His Word was powerful, and our fellowship was refreshing. We give Him...
27/07/2026

A Sunday to remember. God's presence was evident, His Word was powerful, and our fellowship was refreshing. We give Him all the glory🙌. We welcome you next Sunday!

Haikuwa ibada ya kawaida, ni wakati ambao tulikutana na Mungu na kupokea mabadiliko ya kweli. Mahali hapa ni mahali amba...
13/07/2026

Haikuwa ibada ya kawaida, ni wakati ambao tulikutana na Mungu na kupokea mabadiliko ya kweli.
Mahali hapa ni mahali ambapo maombi yanajibiwa. Karibu sana uabudu pamoja nasi hapa T.A.G Maranatha christian center-MCC .

NI SIKU TANO ZA MATENDO MAKUU YA YESU. YESU ATOKOA, ATAFUNGUA NA KUWAPONYA WATU WENYE CHANGAMOTO MBALIMBALI.  USIPANGE K...
03/07/2026

NI SIKU TANO ZA MATENDO MAKUU YA YESU. YESU ATOKOA, ATAFUNGUA NA KUWAPONYA WATU WENYE CHANGAMOTO MBALIMBALI.

USIPANGE KUKOSA KWENYE MKUTANO HUU UTAKAOANZA TAREHE 8 HADI 12 MWEZI HUU, KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA T.A.G Maranatha christian center-MCC .

MATUKIO PICHA YA KILELE CHA KONGAMANO LA IDARA YA WANAWAKE WATUMISHI WA KRISTO (W.W.K) SECTION YA CHARAMBE. KONGAMANO HI...
02/07/2026

MATUKIO PICHA YA KILELE CHA KONGAMANO LA IDARA YA WANAWAKE WATUMISHI WA KRISTO (W.W.K) SECTION YA CHARAMBE.

KONGAMANO HILI LILIFANYIKA HAPA KANISANI T.A.G Maranatha christian center-MCC .



TUNAMSHUKURU SANA MUNGU KWA SIKUKUU YA WATOTO, HAKIKA TULIMUONA MUNGU AKIWATUMIA WATOTO KWA VIWANGO VIKUBWA.Yeremia 1:7 ...
22/06/2026

TUNAMSHUKURU SANA MUNGU KWA SIKUKUU YA WATOTO, HAKIKA TULIMUONA MUNGU AKIWATUMIA WATOTO KWA VIWANGO VIKUBWA.

Yeremia 1:7
"Lakini Bwana akaniambia, Usiseme, Mimi ni mtoto; maana utakwenda kwa kila mtu nitakayekutuma kwake, nawe utasema kila neno nitakalokuamuru."

.A.G MARANATHA CHRISTIAN CENTER-MCC

NI SIKU TANO ZA HABARI NJEMA . MKUTANO MKUBWA WA INJILI UTAKAO FANYIKA KUANZIA TAREHE 8 -12 JULY.YESU KRISTO ATAOKOA, AT...
20/06/2026

NI SIKU TANO ZA HABARI NJEMA . MKUTANO MKUBWA WA INJILI UTAKAO FANYIKA KUANZIA TAREHE 8 -12 JULY.
YESU KRISTO ATAOKOA, ATAPONYA NA KUFUNGUA, WOTE MNAKARIBISHWA.

T.A.G MARANATHA CHRISTIAN CENTER-MCC.

Yeremia 1:7  "Lakini Bwana akaniambia, Usiseme, Mimi ni mtoto; maana utakwenda kwa kila mtu nitakayekutuma kwake, nawe u...
15/06/2026

Yeremia 1:7
"Lakini Bwana akaniambia, Usiseme, Mimi ni mtoto; maana utakwenda kwa kila mtu nitakayekutuma kwake, nawe utasema kila neno nitakalokuamuru."

TUNAKUKARIBISHA SANA NDUGU YETU NA MPENDWA MWENZETU KWENYE WIKI LA SIKUKUU YA WATOTO. KARIBU TUMTUKUZE MUNGU KWA PAMOJA NA WATOTO WETU.

.A.G MARANATHA CHRISTIAN CENTER-MCC

Tulikuja tukiwa na mizigo mbalimbali, tukarudi tukiwa na amani na furaha. Mungu ni mwema daima. 🙏. Karibu sana uabudu pa...
08/06/2026

Tulikuja tukiwa na mizigo mbalimbali, tukarudi tukiwa na amani na furaha. Mungu ni mwema daima. 🙏. Karibu sana uabudu pamoja nasi hapa T.A.G MARANATHA christian center-MCC.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255753580914

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maranatha christian center-MCC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share