Project Bible

Project Bible its all about Bible verses and if you have question you may ask.

Kumbukumbu la Torati 4:19tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbin...
16/06/2023

Kumbukumbu la Torati 4:19

tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbinguni lote pia, ukashawishwa na kuviabudu, na kuvitumikia, ambavyo BWANA, Mungu wako amewagawanyia watu wote chini ya mbingu zote.

Bwana amfanya kipofu Sauli aliyeitwa Paulo, kuelekea lango la Damascus kufanya mauaji ya watu wa Bwana
13/06/2023

Bwana amfanya kipofu Sauli aliyeitwa Paulo, kuelekea lango la Damascus kufanya mauaji ya watu wa Bwana

Daudi na Goliathi wa GathiKatika Bonde la Ela.    1 Samweli 17:1- Hakuna Jambo lisilowezekana Kwa Mungu🐑🦁
09/06/2023

Daudi na Goliathi wa Gathi
Katika Bonde la Ela. 1 Samweli 17:1-
Hakuna Jambo lisilowezekana Kwa Mungu
🐑🦁

Yohana 11:1Bwana amfufua Lazaro.Kisa hiki kinatuambia Kuna tumaini baada ya kifo
30/05/2023

Yohana 11:1

Bwana amfufua Lazaro.
Kisa hiki kinatuambia Kuna tumaini baada ya kifo

1 Yohana 5:4Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu...
29/05/2023

1 Yohana 5:4

Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu.

  2:1:4Yesu Amponya Mtu Aliyepooza2 Baada ya siku kadhaa Yesu alirudi Kapernaumu; watu waka pata habari kuwa amerudi nyu...
24/05/2023

2:1:4
Yesu Amponya Mtu Aliyepooza

2 Baada ya siku kadhaa Yesu alirudi Kapernaumu; watu waka pata habari kuwa amerudi nyumbani. 2 Wakakusanyika kwa wingi isibaki nafasi hata mlangoni! Naye akawahubiria. 3 Wakaja watu wanamletea Yesu mtu aliyepooza, akiwa amebebwa na watu wanne. 4 Waliposhindwa kumfikia Yesu kwa ajili ya msongamano wa watu, wakatoboa tundu darini, wakamshusha ndani yule aliyepooza kwa kitanda alichokuwa amelalia.

  7:15-2715. “Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana k**a kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwam...
24/05/2023

7:15-27

15. “Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana k**a kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwamwitu wakali.

16. Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La!

2 Wakorintho 11:13-1513 Watu k**a hao ni manabii wa uongo, ni wafany akazi wadanganyifu ambao wanajifanya kuwa mitume wa...
24/05/2023

2 Wakorintho 11:13-15

13 Watu k**a hao ni manabii wa uongo, ni wafany akazi wadanganyifu ambao wanajifanya kuwa mitume wa Kristo. 14 Na hii si ajabu, kwa sababu hata shetani hujigeuza aonekane k**a malaika wa nuru. 15 Kwa hiyo si ajabu k**a malaika wake shetani nao wanajigeuza waonekane k**a watumishi wa haki. Mwisho wao utakuwa sawa na matendo yao.

Kisa Cha Yesu na Mama Mjane   12:41Kumpenda Yesu ni kutoa Kila kitu Kwa rafiki aliye na Kila kitu.
24/05/2023

Kisa Cha Yesu na Mama Mjane
12:41
Kumpenda Yesu ni kutoa Kila kitu Kwa rafiki aliye na Kila kitu.

Waebrania 13:16
24/05/2023

Waebrania 13:16

Address

Boko Tegeta
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Project Bible posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category