Arts in Christ

Arts in Christ A group for Visualization of a favored life through live stage drama presentations, film, documentary and other artistic activities for His Glory

27/06/2018

Zimebaki siku Mbili. Tell your neighbor Two days!
YoungN'Strong The Next Level


City Christian Church C.C.C -Upanga City Christian Center - Upanga (Tanzania Assemblies of God)
From 1900hrs till Tomorrow.

Don't Miss.

12/03/2018

Mkesha wa Ibada ya Weekend Worship ulifanyika City Christian Center - Upanga (Tanzania Assemblies of God) siku ya Ijumaa ya mwisho wa mwezi wa februari k**a unonekanavyo katika Picha

Asante kwa D3World kwa ajili ya picha!

CC/ Fred D Msungu Bomby Johnson Frank Mathew City Christian Church C.C.C -Upanga Sammy Rodin

20/02/2018
20/02/2018

Free Entry! Hakuna Kiingilio

Welcome Everyone ! Karibu kila Mmoja

19/02/2018

Zimebakia siku Nne!Leo Jumatatu! Tuanze count downs Leo basi

Ni pale City Christian Church C.C.C -Upanga City Christian Center - Upanga (Tanzania Assemblies of God)

16/02/2018

Tugawe hii hapa! mimi naanza na watu kumi ambao ntawaTAG kuwakarisha kwa mkesha wa Weekend Worship Utakaofanyika siku ya tarehe 23 Februari,2018 pale City Christian Church C.C.C -UpangaCity Christian Center - Upanga (Tanzania Assemblies of God)

Sammy Rodin Grace Owden Mwakasendile Pam Sam Mukiza Keys Mwiruki Lubango Cheyo Teenz Church Upanga Jesse A Star'z Xibona Jacob Mvena Neema MesekaDoreen Shadya !

Na nyie waTAG wengine kumi Tafadhali, Make sure you Tag someone.

15/02/2018

Tunaanza mwezi huu wa pili katika tarehe 23rd Februari,2018. Hii itakuwa ijumaa ya mwezi huu na ndani ya City Christian Center - Upanga (Tanzania Assemblies of God)

15/02/2018

The Next Level wanakuletea Weekend Worship Huu ni usiku wa kusifu, kuabudu, na maombi. Utakaofanyika katika kanisa la City Christian Center - Upanga (Tanzania Assemblies of God) lililoko Upanga mkabala na Mzumbe University.

Weekend Worship mwezi huu itafanyika tarehe 23 mwezi Februari, 2017 ambayo itakuwa Ijumaa.
Pasteur Guy Amani Bomby JohnsonFred D Msungu Frank Mathew Mukiza Keys Mwiruki

15/02/2018

Weekend Worship mwaka huu inakuletea Mchungaji Pasteur Guy Amani kutoka DRC Congo!

Huyu ni Mnenaji mkuu katika mkesha huu!

Usikose Ijumaa ya tarehe 23 mwezi Februari pale City Christian Church C.C.C -Upanga

15/02/2018

Mchungaji Fred D Msungu Naye atakuwepo katika Weekend Worship
Dar es salaam haijawahi kukusikia k**a watakavyokusikia Ijumaa hii ya 23 mwezi February pale City Christian Center - Upanga (Tanzania Assemblies of God)

Kaa Makao wa kusikia Bwana aliloliweka kwa Mtumishi huyu Kijana.

Kumbuka kumwambia mwingine kuwa Ijumaa hapatatosha.

15/02/2018

Hakuna Jambo Lisilowekana Kwake eh ama Ninaogelea kwenye mto wa Damu ya Yesu Ninaogelea NIMEOKOKA....! hizi ni baadhi ya nyimbo zitakazo pazwa pale City Christian Center - Upanga (Tanzania Assemblies of God) City Christian Church C.C.C -Upanga katika tarehe ya 23 mwezi februari na Mchungaji na Mwimbaji Bomby JohnsonBomby Johnson

Usikose usiku wa Ibad ya Weekend Worship kuanzia saa tatu usiku mpaka asubuhi

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arts in Christ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Arts in Christ:

Share