13/06/2026
Askofu Mkuu Dr Bruno Mwakibolwa ametembelea Kanisa la Mito ya Baraka Church Mahoma Makulu Dodoma na kushuhudia ujenzi unaoendelea. Kanisa hilo linasimamiwa na Askofu wa jimbo la Dodoma Gladness Mlimba.
: