Efatha Intellectuals Organisation Eio-Morogoro

Efatha Intellectuals Organisation Eio-Morogoro Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Efatha Intellectuals Organisation Eio-Morogoro, Religious organisation, Kiwanja Na.MNY/KMB/356, Mtaa wa Kambwangwa, Barabara ya Mwinjuma, Kinondoni, Dar es Salaam.

20/02/2025
19/02/2025

Kwa neema ya kristo
Tumerudi Tena kwenye nafasi yetu

WAAMUZI 16:22
LAKINI ZILE NYWELE ZA KICHWA CHAKE ZIKAANZA KUKUA TENA BAADA YA KUNYOLEWA KWAKE.

Mawasiliano:
0745 209 208
0734 209 208

KWA WANAVYUO WAPYA~2017/2018Umoja wa wanavyuo waliochini ya huduma ya Efatha{Efatha intellectuals organisation~e i o},MK...
15/10/2017

KWA WANAVYUO WAPYA~
2017/2018

Umoja wa wanavyuo waliochini ya huduma ya Efatha{Efatha intellectuals organisation~e i o},MKOA WA MOROGORO.
Kwa kushirikiana na mch kiongozi wa mkoa,Efatha morogoro,
mch GLADNESS F TUPA,
Kwa furaha kubwa na kwa mioyo ya dhati kabisa,
tunawapongeza vijana wote na watu wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali,mkoani morogoro kwa mwaka huu 2017/2018,,,
Aidha tunapenda kuwafahamisha kuwa tuna utaratibu mzuri na mfumo madhubuti wa kuwahudumia wanafunzi kiroho kupitia ibada zetu za neno,sifa,maombi na maombezi,kwa wasomi zinazofanyikia kanisani{kila j,pili ya mwisho wa mwezi} na pia mavyuoni{kila siku jioni baada ya masomo,na asubuh kwa siku za j.pili}.

Hivyo tunawakaribisheni sana kwa wale ambao mngependa kulelewa,kujengwa na kukuzwa kiroho kupitia umoja huu.

kumbuka;
maisha ya chuo bila Yesu,ni sawa gari linaloendeshwa usiku bila taa.

Ili kujua mfumo mzima wa ibada zetu,tafadhali wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo;
0685 877 424
0756 337 555
0757 058 685
0757 783 933

MWALIKO KWA WOTE;Umoja wa wanavyuo walio chini ya huduma ya Efatha~Morogoro,,,Kwa mapenzi mema,tunaungana na Baba yetu w...
18/09/2017

MWALIKO KWA WOTE;
Umoja wa wanavyuo walio chini ya huduma ya Efatha~Morogoro,,,
Kwa mapenzi mema,tunaungana na Baba yetu wa kiroho,MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA,,
Kuwakaribisheni watu wote,bila kujali itikadi za dini na madhehebu yenu,ktk KUSANYIKO KUU LA KIMATAIFA KWA WANA WA MUNGU,litakalofanyika kwa muda wa wiki moja kt ya tar 02/10-08/10/2017.
Kusanyiko hili litafanyikia maeneo ya Bungo kibaha~Pwani,yalipo makao makuu ya huduma ya Efatha.
Watakaohudumu ktk kusanyiko hili ni;
1.Mtumish wa Mungu,MORRIS CERULLO,toka marekani
2.Mtume na Nabii
J,E MWINGIRA
na watasindikizwa na waimbaji wa EFATHA MASS CHOIR.

TUNAWAKUMBUSHA KUWA:
waleteni wenye MAGONJWA YOTE HATA NA YALE YALIYOSHINDIKANA KABISA KABISA,,,
Bila kuwasahau Na wale wote waliofungwa na nguvu giza,nao watafunguliwa na MUNGU MWENYEwe mwenye NGUVU AMBAYE HAJAWAHI KUSHINDWA NA CHOCHOTE TOKA MWANZO,,,,

Ili kujua taratibu zote za kufika na kuishi na kula,wakati wote wa kusanyiko,,
wasiliana na kituo chochote cha Efatha kilicho karibu nawe.

HII SI YA KUKOSA KABISA,,,NI MKUTANO MKUBWA UTAKAOWALETA PAMOJA WASOMI,WAFANYABIASHARA NA WAFANYAKAZI.. KWA WASOMI WOTE ...
20/06/2017

HII SI YA KUKOSA KABISA,,,
NI MKUTANO MKUBWA UTAKAOWALETA PAMOJA WASOMI,WAFANYABIASHARA NA WAFANYAKAZI.. KWA WASOMI WOTE WA VYUO VYA MOROGORO PAMOJA NA WAHITIMU WOTE,
BILA KUWASAHAU WAFANYABIASHARA NA WAFANYAKAZI,,,,
NI IJUMAA HII,,,
MUDA:KUANZIA KUMI NA MBILI JION,
MAHALI:MAPUMBAN{NANENANE}
KWA WALE WA MIKOAN PIA MNAKARIBISHWA SANA NA PIA K**A UNA NDUGU YAKO HAPA MOROGORO,,,
MUUNGANISHE NASI KWA NAMBA
0757 026 027

WASOMI OYEEEE!!!Kwako msomi,,,elewa kitu kimoja ktk kusoma kwako,kuwa;UTASOMA SANA MPAKA UMALIZE VIDATO VYOTE NA MADARAJ...
10/05/2017

WASOMI OYEEEE!!!
Kwako msomi,,,elewa kitu kimoja ktk kusoma kwako,kuwa;
UTASOMA SANA MPAKA UMALIZE VIDATO VYOTE NA MADARAJA YOTE YA KI~ELIMU,,
ILA K**A HUNA MUNGU NDANI YAKO,,UTAISHIA KUONEKANA KILAZA TUU,,NOTHING YOU CAN ESTABLISH AND ACHIEVE SUCCESSFULLY,,,

WHY???

NI KWA SABABU;Ili kitu chochote kiweze kufanya kazi ni lazima kuwepo na nguvu{energy=driving force}

so,nothing can operate without ENERGY,,EVEN T.V,RADIO,VEHICLES,CELLULAR PHONES ETC,,,NEEDS SOME ENERGY TO FUNNCTION PROPERLY,,,

Ndivyo ilivyo maishan,huwez kufanya chochote pasipo nguvu ya uwezesho,,,
na asili ya nguvu hizo ni aidha kwa MUNGU WA KWELI,,
AU KWA SHETANI{ila huku mwisho wake ni jehanum}

WASOMI WENGI WAMEISHIA KUWA WATU WA MIPANGO MINGI ISIYOTEKELEZWA MAANA HATA WALIPOJARIBU WALIISHIA KUSHINDWA MAANA NDANI YAO HAKUNA NGUVU YA UWEZESHO,,HAWAPO KWA MUNGU WALA KWA SHETANI.

USIPOKUWA NA MUNGU NDANI YAKO,UTAFANANISHWA NA GARI ZURI LILILOKAMILIKA KWA KILA KITU,,
ILA LIKAKOSA MAFUTA{FUEL TO PRODUCE ENERGY}

AMUA LEO KUMTAFUTA MUNGU.

30/03/2017

QUESTION TO ALL INTELLECTUALS:~
Does the vision make the leader???
OR,
Does the leader make the vision????

Ilikuwa ni siku ya furaha na faraja kubwa sana kwetu wasomi wa Morogoro,pale ambapo mlezi wetu Prof,Lulandala pamoja mke...
11/02/2017

Ilikuwa ni siku ya furaha na faraja kubwa sana kwetu wasomi wa Morogoro,pale ambapo mlezi wetu Prof,Lulandala pamoja mkewe na mjukuu wao,,walipokuja kushiriki nasi ktk ibada ya wasomi tar 5/2/2017,,,,iliyofanyikia SUA MAINCAMPUS,,,Tunamtukuza Bwana kwa ajili ya PROF,,,maana amekuwa Baba na mlezi mwema kwetu,,,Bwana asiisahau kazi yake siku ya mwisho.

11/02/2017

Address

Kiwanja Na.MNY/KMB/356, Mtaa Wa Kambwangwa, Barabara Ya Mwinjuma, Kinondoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Intellectuals Organisation Eio-Morogoro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share