Sports Extra

Sports Extra Tupo hata kukuhabarisha habari zote za kimichezo zilizo jiri ndani na njee ya nchi Uchambuzi mbali mbali na matukio yote ya kimichezo

Canon 057High printing capacity & last longCall/ WhatsApp; +255-(0)-628498663Tupo kariako, mtaa Wa Lindi & kongo, Dar es...
24/05/2023

Canon 057

High printing capacity & last long

Call/ WhatsApp; +255-(0)-628498663

Tupo kariako, mtaa Wa Lindi & kongo, Dar es salaam

Sports Extra Hii ndiyo baro iliyoandikwa na uongozi wa Yanga sc badaa ya ketendo Cha kikatili kilichofanywa na mashabiki...
31/08/2020

Sports Extra

Hii ndiyo baro iliyoandikwa na uongozi wa Yanga sc badaa ya ketendo Cha kikatili kilichofanywa na mashabiki wa team hiyo katika tamasha Lao la Siku ya Wananchi Yanga day

👉 Usisahau page yetu kwa habari za kimichezo zaidi

Sports ExtraKila kipa  anasifa zake anaweza kuwa chaguo la kocha na akaanza kwenye kikosi cha kwanza lakini kila shabiki...
31/08/2020

Sports Extra

Kila kipa anasifa zake anaweza kuwa chaguo la kocha na akaanza kwenye kikosi cha kwanza lakini kila shabiki anaubora wake kichwa ambao ni tofauti na wengine swali kwako mwanasimba

Eti kati ya Kakolanya na Aishi Manula ni yupi huwa anakuvutia sana akianza goli na kwanini ?

Sports ExtraWachambuzi mbali mbali wa soka wanasema kuwa Bernard Morrison akiwa uwanjani mpinzani unatamani mpira uishe ...
31/08/2020

Sports Extra

Wachambuzi mbali mbali wa soka wanasema kuwa Bernard Morrison akiwa uwanjani mpinzani unatamani mpira uishe haraka

Kwako, wewe mwanamichezo mwenzangu unalipi la kusema juu ya kauli hii ?

👉 Usisahu pia page yetu kwa habari za kimichezo zaidi

Na Sports Extra the house of sports news HAPA MORRISON PALE MIQUISSONE NA CHAMA NI YULE YULE NAMUNGO FC WATAWEZA KWELI ?...
29/08/2020

Na Sports Extra the house of sports news

HAPA MORRISON PALE MIQUISSONE NA CHAMA NI YULE YULE NAMUNGO FC WATAWEZA KWELI ?

Naaam sijui k**a wataweza kweli, ni kuelekea tu! Katika mchezo wa ngao ya jamii jumapili hii August 30 mkoani Arusha kwenye uwanja wa Shke Abeid Amani Karume hapo ndipo nyasi zitawaka Moto na nyavu kutikisika watakapo kutana mihamba miwilii kutoka league huku Namungo fc kule Simba sports club katika mchezo huo kuhashiria ufunguzi wa pazia la league kuu vpl msimu wa 2020/2021

Mchezo huu utakuwa wa aina yake kutokana na team zote upenda kuweka mpira chini japokuwa katika mechii hii ubora wa wachezaji kuanzia team work hadi mchezaji mmoja mmoja ndiyo utaamua matokeo ya mechi hii na kutokana na sababu hii kuhualisia Simba sc wanapewa nafasi kubwa sana ya kufanya vyema

Kutokana na ubora wa team yao kuanzia team nzima hadi mchezaji mmoja mmoja pale anapo hitajika mchezaji wa kuamua matokeo Simba wanafaida kubwa watakapo ingia katika mechi hi kutokana na kuwa na kikosi Bora Cha msimu uliyopita kilichochukua mataji mawili moja la league kuu lingine FA cup na bado wameoneka kuongeza nguvu katika mapengo yaliyokuwa yakiwasumbua katika ya Msimu

Analysis hii itamaliziwa katika Post ijayo

👉 Pia Usisahu Page yetu kwa habari za kimichezo zaidi

Sports ExtraMrisho Ngassa mbioni kujiunga na Ndanda fc kutoka mkoani Mtwara akiwa k**a mchezaji huru badaa ya mkataba wa...
29/08/2020

Sports Extra

Mrisho Ngassa mbioni kujiunga na Ndanda fc kutoka mkoani Mtwara akiwa k**a mchezaji huru badaa ya mkataba wake kumalizika na team ya Wananchi Yanga sc aliyokuwa akiitumikia

Akuwa na Msimu mzuri sana na waajiri wake Yanga sc waligoma kumpa mkataba mpya na kumpa mkono wa kwaheri kupisha project mpya ya team

Eti wanamichezo unamaoni gani juu ya uelekeo wa Mrisho Ngassa atundike daluga( kustafu) kutoka na umri wake kwenda au aende kukipiga Ndanda k**a dili lake litafanikiwa ?

👉 Usisahu pia page yetu kwa habari za kimichezo zaidi

Sports Extra Rasmi Sasa beki wa kibrazil aliyekuwa akikipiga ndani ya kikosi cha Matajiri wa jiji la Paris kutoka Ufaran...
28/08/2020

Sports Extra

Rasmi Sasa beki wa kibrazil aliyekuwa akikipiga ndani ya kikosi cha Matajiri wa jiji la Paris kutoka Ufaransa PSG Thiago Silva amejiunga na the blues kuwatumia mihamba hiyo kutoka London.

Thiago silva now is blues

👉 Usisahu page yetu kwa habari za kimichezo zaidi

Sports ExtraKikosi cha Simba sports club tayari kimewasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius kambarage nyerere...
28/08/2020

Sports Extra

Kikosi cha Simba sports club tayari kimewasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius kambarage nyerere tayari kwa safari ya kueleke Mkoni Arusha kukipiga katika mechi ya Ngao ya jamii kuhashiria ufunguzi wa pazia la league kuu msimu 2020

Mechi itakayo chezwa jumapili hii August 30 dhidi ya Namungo fc

Unamoni gani mwanamichezo kueleke mchezo huu wa kukata na Shoka dhidi ya mihamba hii miwili ?

👉 Usisahau page yetu kwa habari za kimichezo zaidi

Sports ExtraClub kubwa za mpira kote ulimwenguni zinapokuwa na Wachezaji wenye wadogo wenye uwezo katika team zao na wac...
28/08/2020

Sports Extra

Club kubwa za mpira kote ulimwenguni zinapokuwa na Wachezaji wenye wadogo wenye uwezo katika team zao na wachezaji hao kukosa nafasi katika team hizo kutokana na Wachezaji wakubwa wenye uwezo

Kawaida club hizo huwapeka kwa mkopo katika team mbali mbali ili wakapate changamoto kwajili ya kuwatumia badae kuliko kukaa bechi wauwe kiwango chao kisa Mshara au lolote lile

Nadhani Simba sports club wamefanya Jambo la msingi kwa Rashidy Juma kwa kikosi cha Simba cha Sasa hasingeweza kupata nafasi Bora akapambane kwaajili ya future yake.

Kwa Sasa Rashidy Juma winga machamchari sana Wasimba aliyemaliza makubwa wanasimba watamkumbuka Kwenye mechi ya As Vita champions league mechi yamwisho ambayo iliamua Nani atinge Robo final.

Unamaoni gani mdau mwenzangu wa machezo juu ya uhamisho huu wa mkopo wa Rashidy Juma kutoka Simba sc kwenda Polisi Tz ?

👉 Usisahau page yetu kwa habari za kimichezo zaidi

Sports ExtraTUSIJE KUTAFUTA MCHAWI NANIHapa engineer Herse atambue kuwa watu wanamkabizi mioyo yao na mioyo ya Mashabiki...
21/08/2020

Sports Extra
TUSIJE KUTAFUTA MCHAWI NANI

Hapa engineer Herse atambue kuwa watu wanamkabizi mioyo yao na mioyo ya Mashabiki wa soka siku zote inahitaji furaha tu katika uwanja wanaporudi basi wapate ushindi hawapendi Droo wala kufungwa

Itapendeza mtu anafungwa tayari ameshakuwa bingwa wala haiwezi kuumiza lakini mdaa wa kutafuta watu wanahitaji furaha

Ni mdaa wa yeye kuwahakikishia wanayanga wanapata furaha kupitia Gsm walio aminiwa na wapenzi wa Yanga yale ya nyuma wahakikishe wanayaziba kwakuleta vyuma k**a hivi walivyofanya wanayanga wanahitaji ushindi kwenda mbele.

👉 Usisahau page yetu kwa habari za kimichezo zaidi

Sports ExtraKwa wanasimba Commenter gani kati ya hawa 4 ungependa atangaze mechi ya Simba day Jumamosi hii ?
20/08/2020

Sports Extra

Kwa wanasimba Commenter gani kati ya hawa 4 ungependa atangaze mechi ya Simba day Jumamosi hii ?

Sports Extra" Kwasaaa naona Wananchi wenye Yanga yao wameshaanza kusahau swala la Morrison Nilijua tu na ndivyo ilivyo t...
20/08/2020

Sports Extra

" Kwasaaa naona Wananchi wenye Yanga yao wameshaanza kusahau swala la Morrison Nilijua tu na ndivyo ilivyo takiwa unajua ifike mahali mtu unatakiwa kukubaliana na haki hata kanuni ipo asiyekubali kushindwa siyo mshindani

Simba walishawashinda walitakiwa kukubali tu! K**a navyoona Sasa polepole wanakubali wamefanya right choice kuweka maswala hayo kando na kuangalia mstakhabali wa team yao na kwenda kutafuta wachezaji wengine wenye uwezo kuendeleza team mbele

Hongera kwako na haya ndiyo mabaliliko ya kweli hautakiwa kurudishwa nyuma na mambo ya kawaida"

Alex lwambano akitoa tathimini yake alipoulizwa swali kuhusu hali ya Yanga sc ilivyo Sasa baada ya swala la Morrison kumalizika.

👉 Pia usisahau page yetu kwa habari za kimichezo zaidi.

Address

Mbagala
Dar Es Salaam

Telephone

+255628498663

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports Extra posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share