KKKT Usharika wa Ubungo

KKKT Usharika wa Ubungo Ukurasa rasmi wa Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania Usharika wa Ubungo. Ebr 10:39a

13/06/2026

Tunakukumbusha tu, unaowatazama ni kwaya ya uinjilisti Ubungo (KANNA) enzi hizo wakiimba mojawapo wa wimbo....WEWE NI MUNGU

Wanamaombi wa KKKT -DMP walipokusanyika mapema leo KKKT Usharika wa Ubungo wa ajili ya kuombea Kongamano la KKKT -DMP li...
13/06/2026

Wanamaombi wa KKKT -DMP walipokusanyika mapema leo KKKT Usharika wa Ubungo wa ajili ya kuombea Kongamano la KKKT -DMP litakalofanyika shule ya sokondari ya Filbert Bayi, Kibaha kuanzia tar 15 - 20 Juni 2026 na kuhudhuriwa na wanamaombi mbali mbali kutoka pembe mbalimbali za nchi na nje ya mchi. Sambamba na hilo, waliombea kusanyiko la KKKT-DMP litakalofanyika hapo kesho usharika wa Ubungo.

13/06/2026

Faida anayoipata mtu ambae ana malengo.....huona viashiria hatarishi katika eneo linalomzunguka

12/06/2026

Faida anayoipata mtu ambae ana malengo...kujenga tabia ya kujifunza

12/06/2026

Faida anayoipata mtua ambae ana malengo na maisha yake....bidii ya kujifunza

11/06/2026
11/06/2026

Kuwa na nidhamu binafsi, kiroho, kimwili, kiuchumi na kijamii

Address

Ubungo
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Usharika wa Ubungo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to KKKT Usharika wa Ubungo:

Share

Category