UZURI wa Uislam

27/08/2025
ASSALAAM ALAYKUM...KHERI.... KHERI... KHERI...huu ni wito katika kheri kwako MUislam ana usie MUislam...WAISLAM WENZETU,...
06/10/2024

ASSALAAM ALAYKUM...

KHERI.... KHERI... KHERI...

huu ni wito katika kheri kwako MUislam ana usie MUislam...

WAISLAM WENZETU, wa wilaya ya UBUNGO, KATA YA KWEMBE, MTAA WA MICHUNGWANI, wapo katika ujenzi wa MSIKITI katika eneo Hilo, ila wamekwama sehemu fulani katika kukamilisha ujenzi wao, hivyo wanaomba SADAKA YAKO, na Inshallah Allah atakuhesabia miongoni mwa WENYE KUINEZA NA KUITETEA DINI YAKE...

MAOMBI YAO HAYO HAPO CHINI...

CHOCHOTE ULICHONACHO KITAPOKELEWA KWA SHUKRAN KUBWA MNO...

Assalam alaykum ndugu yangu pole sana na majukumu tuna ujenzi wa msikiti na sasa tunataka kuchimba shimo la choo upande wa nyuma wa vyoo vya akina mama la ukubwa wa 12ft * 12ft tunaomba sana sadaka yako ili tufanikishe zoezi

Bado vitu tunavyohitaji ni k**a ifuatavyo kwa mujibu wa fundi
1. Playwood - 4 @ 15,000 = 60,000
2. Misumari ya ceiling 1kg @ 5,000 = 5,000
3. Misumari 3" - 1kg @ 4,000 = 4,000
4. Misumari 4" - 1kg @ 4,000 = 4,000
5. Matofali 5" - 800 @ 1,200 = 960,000
6. Nondo 12mm - 12pcs @ 25,000 = 300,000
7. Cement - 35bags @ 18,000 = 630,000
8. Milunda - 20pcs @ 4,000 = 80,000
9. Mbao 1*10 - 15pcs @ 16,000 = 240,000
10. Mbao 2*4 - 10pcs @ 8,000 = 80,000
11. Binding wire - 5kg @ 5,000 = 25,000
12. Kokoto Lori 1 @ 350,000
13. Mchanga lori 2 @ 150,000 = 300,000
14. Ujenzi wa tofali - 800pcs@400 = 320,000
15. Fundi mbao+nondo+zege - 300,000
16. Vibarua kuchimba shimo - 600,000
17. Nondo 8mm - 2pcs @ 14,000 = 28,000

Wenu katika Imani
Othman Ahmed Shebe
Katibu WA masjid Ahmad
(0783788744 na 0652788744 na 0744822597) kwa mawasilino

07/08/2024

Mashallah

07/08/2024

Hii ni sura ipi?

07/08/2024

Mashallah...

Assalaam Alaykum...Ndugu zangu Waislam, ninayo nakala laini ' SOFT COPY' ya Kitabu cha  Dr. Swaalih Al Fawzaan, kinacho ...
05/09/2023

Assalaam Alaykum...

Ndugu zangu Waislam, ninayo nakala laini ' SOFT COPY' ya Kitabu cha Dr. Swaalih Al Fawzaan, kinacho husu masuala ' WANAWAKE WA KIISLAM' katika nyanya mbali mbali mfano:

1: Nafasi ya Mwanamke kabla ya uislam, na katika uislam..

2: Hukumu zinazo husu Mwili wa Mwanamke

3: Hukumu zinazo husu Hedhi, istihaadh, na Nifasi

4: Masuala ya Mavazi na Hijab

5: Hukumu zinazo husu Sala ya Mwanamke

6: Masuala ya Jeneza

7: Swaumu ya Mwanamke

8: Masuala ya Hajj& Umrah kwa wanawake

9: Masuala ya Ndoa

10: Utukufu wa Mwanamke na namna ya kulinda heshima yake..

K**a unakihitaji KITABU HICHO, nitumie ujumbe wa neno " Wanawake" kwenda WhatsApp +255683291575 (USIPIGE SIMU)

NITAKUTUMIA BURE KABISA, INSHALLAH ikawe heri kwetu sote kwenye kuzitafuta RADHI ZA MOLA WETU.

Kitabu kipo kwenye LUGHA YA KISWAHILI, tarjama imefanywa na firqatunnaija.

اللَّهُ أَكْبَرُ اللَّهُ أَكْبَرُ لَا إلَهَ إلَّا اللَّهُ. وَاَللَّهُ أَكْبَرُ اللَّهُ أَكْبَرُ وَلِلَّهِ الْحَمْدُ.EID ...
08/07/2022

اللَّهُ أَكْبَرُ اللَّهُ أَكْبَرُ لَا إلَهَ إلَّا اللَّهُ. وَاَللَّهُ أَكْبَرُ اللَّهُ أَكْبَرُ وَلِلَّهِ الْحَمْدُ.

EID MUBARAK ....

08/07/2022

Leo ni 👇👇
Dhuʻl-Hijjah 9, 1443 AH
(8-July-2022)
ALHAMDULILLAH

07/07/2022

Weka NIA na AZMA ya kufunga A'RAFA kesho...

INSHALLAH

07/07/2022

Leo ni 👇👇
Dhuʻl-Hijjah 8, 1443 AH
(7-July-2022)

KA'BAHUsiku huu... MASHA'ALLAH...Cc: Haramain Sharifain
06/07/2022

KA'BAH

Usiku huu...



MASHA'ALLAH...

Cc: Haramain Sharifain

Address

Https://chat. Whatsapp. Com/CSSALtMdVmlHsEFNltE0eQ
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UZURI wa Uislam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share