21/03/2023
******Wivu Wa Mungu?*****
π
Mwanaume Mmoja
Alimpiga Sana Mke Wake
Hadi Akamng'oa Meno Ya Mbele...
Kisa Na Mkasa Mkewe Alichelewa
Kurudi Nyumbani...
Siku Ya Tukio Mkewe Alikwenda
Sokoni ,....
Alipitia Kwa Mama Mkwe Wake
Aliyekuwa Akiishi Karibu Na Sokoni
Ili Amsalimie, Kwa Bahati Mbaya
Akamkuta Akiwa Mgonjwa Mahututi...
Yule Mke Alimtafuta Mumewe
Ili Ampe Taarifa Ya Mama Yake,
Lakini Simu Ya Mumewe Haikupatikana..
Ndipo Alipoamua Kumpeleka
Mama Mkwe Wake Hospitali Na huko
Ndiko Alikochelewa Na Kupata Kipigo
Hadi Kung'olewa Meno...
Alipopata Ukweli Wa Mambo
Mwanaume Alijuta Sana Lakini
Haikusaidia Kitu,...
Wivu Wa Kimapenzi Ulimponza
π
Twen'Zetu Kwenye Biblia
π
Maana Nawaonea Wivu,
,
Kwa Kuwa
,
Ili Nimletee Kristo Bikira Safi
2 Wakorintho 11:2
βPaulo Anawaonea Wivu Wakorintho
Kwa Kuwa Amewapatia
(Yesu)...
β Anawaandaa Wakorintho Vizuri
Kumpokea Yesu K**a
Bikira Mwaminifu Anayejitunza
Kwaajili Ya Mumewe Mtarajiwa...
π
β Kisha Anawapa Injili Ya Yesu,
Nao Wanaipokea
Na Wanampokea Yesu Kuwa
Mwokozi Wa Maisha Yao...
β
Kwa Kuwa Wakorintho Wamempokea
Yesu Mungu Wa Kweli
(Kwa Kutokewa Na Yesu)
βοΈ Anatamani Bahati Hiyo
Waliyoipata Wakorintho
K**a Angeipata Yeye
Mapema Kabla Ya kuwaumiza
Wakristo
Zingatia:
*********
βWivu Wa Paulo
Haufanani Na Wivu Wa Yule
Mwanaume Kwenye Hadithi Yetu
βοΈ Wivu Wa Paulo
β Wivu Wa Yule Mwanaume
β Kuwaka Tamaa Ya Mungu
Ndani Ya Mtu
K**a Ni Wivu,
...
β Unatamani Nini Ndani Yako
β Mtamani Mungu Ndani Yako
Kiasi Kwamba Uwe Na Wivu
Wa Kutaka Na Wewe Ufikie
Walivyofikia Wengine Vya
Na Kumtumikia
β NI MIMI TU KUWALETEA HABARI