FPCT -Taifa Updates

FPCT -Taifa Updates The Free Pentecostal Church Of Tanzania ni moja wapo ya makanisa makubwa ya Kipentekoste nchini Tanzania linalo toa huduma kupitia makanisa yake nchi nzima

ASKOFU MKUU AWATAKIA UTUMISHI MWEMA IDARA YA WANAWAKE
15/04/2026

ASKOFU MKUU AWATAKIA UTUMISHI MWEMA IDARA YA WANAWAKE

WIKI YA IDARA YA WANAWAKE KITAIFA
13/04/2026

WIKI YA IDARA YA WANAWAKE KITAIFA

30/03/2026

MUNGU HAKUTOA VYEO ALITOA HUDUMA KWA KANISA

30/03/2026

KUA MTUMISHI

29/03/2026

MAONO YA ULIMWENGU

25/03/2026

usikose kufuatilia kipindi maalum cha DIRA YA FPCT kitakachorushwa mubashara kupitia Habari Maalum TV na Habari Maalum FM Alhamisi Tarehe 26 Februari 2026 kuanzia saa 2 Usiku hadi saa 4 usiku .

Kanisa la FPCT linapenda kuwakaribisha kwenye kongamano kanda ya kati litakalo husisha viongozi na watumishi kutoka maji...
24/03/2026

Kanisa la FPCT linapenda kuwakaribisha kwenye kongamano kanda ya kati litakalo husisha viongozi na watumishi kutoka majimbo mbalimbali ya kanda ya kati

Mahali: Singida
Tarehe:29 Aprili – 1 Mei 2026

Kanda zitakayoshiriki:
Singida, Ikungi, Ilongero, Itigi na Dodoma

Washiriki wanaotarajiwa:
🔹 Wachungaji Viongozi pamoja na Wake zao
🔹 Wachungaji wa Parishi
🔹 Makatibu wa Majimbo
🔹 Makatibu wa Makanisa ya Mahali
🔹 Wanataaluma wawili kutoka kila Kanisa la Mahali
🔹 Mwenyekiti na Katibu wa kila Idara ngazi ya Jimbo

Muda ni kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 10 jioni

Karibu kufuatilia kipindi maalum cha DIRA YA FPCT kitakachorushwa mubashara kupitia Habari Maalum TV na Habari Maalum FM...
20/03/2026

Karibu kufuatilia kipindi maalum cha DIRA YA FPCT kitakachorushwa mubashara kupitia Habari Maalum TV na Habari Maalum FM Alhamisi Tarehe 26 March 2026 kuanzia saa 2 Usiku hadi saa 4 usiku.

Habari maalum Tv inapatikana kupitia kisimbuzi cha Azam Upande wa Other Chaneli namba 012, pia kupitia kurasa .za mitandao mbalimbali ya kijamii k**a vile youtube, Instagram Na Facebook kwa jina la Habari Maalum Tv

17/03/2026

KIJANA WA FPCT SIKILIZA HII KWA UMAKINI INAKUHUSU

13/03/2026
05/03/2026

: Katibu Mkuu wa FPCT Mch.Oscar Kindole akitoa taarifa ya ujenzi wa Ukumbi Mkubwa na wa Kisasa unaojengwa Njedengwa Jijini Dodoma

03/03/2026

Idara ya Vijana na Watoto ya Kanisa la FPCT imezindua rasmi mfuko wa kuchangisha shilingi bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa HUIMA Recreation Centre itakayojengwa mkoani Tabora.

Mfuko huo umezinduliwa na Askofu wa Jimbo la Pwani Mch.Jackson Masunga Jumapili, tarehe 1 Machi 2026, katika kanisa la FPCT Chanika lililopo jijini Dar es salaam ambapo Bw. Alex Wambi ambaye ni Mwenyekiti wa CYM Taifa, amewahimiza vijana na washirika wa FPCT kwa ujumla kujitoa kikamilifu katika kuchangia ujenzi wa kituo hicho

Bw. Wambi amesema HUIMA Recreation Centre itajumuisha miradi mbalimbali ya kiuchumi ikiwemo uwanja wa mpira, nyumba za kulala wageni, maeneo ya mapumziko pamoja na miundombinu mingine itakayowezesha idara kujitegemea kifedha na kuendesha shughuli zake kwa ufanisi zaidi.

Njia za kutuma pesa ni CRDB BANK:0150478748100, HALOTEL{lipa namba}25112722, na AIRTEL MONEY:144903633, jina ni CYM FPCT TAIFA kwa njia zote

Address

Loliondo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT -Taifa Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to FPCT -Taifa Updates:

Share