TAG GCC Mburahati

TAG GCC Mburahati TAG GILGAL CHRISTIAN CENTER KITUO CHA MABADILIKO. TUPO MBURAHATI KIGOGO. TUMEJENGWA JUU YA USHIRIKA.

04/09/2026

DON'T MISS OUT 🙏


When your time comes, no one can stop what God has ordained for you! Don’t compare your journey to anyone else’s. Keep t...
01/09/2026

When your time comes, no one can stop what God has ordained for you! Don’t compare your journey to anyone else’s. Keep trusting, keep believing and keep holding on,when it reaches your turn, you will testify of God’s goodness! 🙌


Zaburi 68:20Mungu ametenda tena! 🙌Kwenye ushuhuda wa kwanza, tunaona ushindi na wa pili, tunaona uponyaji❤️Haya si matuk...
01/09/2026

Zaburi 68:20

Mungu ametenda tena! 🙌
Kwenye ushuhuda wa kwanza, tunaona ushindi na wa pili, tunaona uponyaji❤️

Haya si matukio tu, ni ushahidi kwamba Mungu bado anatenda, bado anaponya, na bado anawapa watu ushindi! 💪

Utukufu wote ni wa Mungu! 🔥🙌


K**a Baba alivyo na mwana naye anafuata nyayo 🎸Mungu aendelee kutumika kupitia familia hii na kipawa hiki kizidi kuwa Ba...
31/08/2026

K**a Baba alivyo na mwana naye anafuata nyayo 🎸

Mungu aendelee kutumika kupitia familia hii na kipawa hiki kizidi kuwa Baraka kwa wengi 🙌🔥



NINASHUKA CHINI🙇🙌😭Ninashuka chini,Ninashuka chini sana,Yesu uinuliwe🙌Pokea Sifa zote,Heshima, Utukufu,Yesu uinuliwe 🙌
31/08/2026

NINASHUKA CHINI🙇🙌😭

Ninashuka chini,
Ninashuka chini sana,
Yesu uinuliwe🙌
Pokea Sifa zote,
Heshima, Utukufu,
Yesu uinuliwe 🙌


28/08/2026

MKESHA MKUBWA WA SIFA NA MAOMBI!

​Wote mnakaribishwa katika Mkesha Mkubwa ulioandaliwa na Zone "D" TAG GCC Mburahati. Utakuwa usiku wa kipekee sana wa Sifa, Kuabudu, Neno la Mungu na Maombezi,kwaya zote za TAG GCC Mburahati Zitahudumu,​Usipange kukosa usiku huu wa Baraka🙏

Usije peke yako mkaribishe na mwingine.....


27/08/2026

Throughout my journey in life, You have been so faithful. What You have done for me, no one else could ever do🙌

You deserve the praise of our hearts🙏


26/08/2026

John 4:23

He alone deserves the glory, the honor, and all our worship🙌


Everything that passes, Jesus remains close to us,He understands every tear, carries every burden, and never leaves us ,...
24/08/2026

Everything that passes, Jesus remains close to us,He understands every tear, carries every burden, and never leaves us ,He is our closest Friend and our everything,We love You Jesus😭🙌🙌


Address

Barafu Mburahati
Dar Es Salaam

Telephone

+255716439938

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG GCC Mburahati posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share