Ukombozi Healing and Deliverance Centre Mbezi Mwisho

Ukombozi Healing and Deliverance Centre Mbezi Mwisho Kiongozi mkuu ni mtu wa Mungu Nabii BG Malisa, mhubiri wa kipindi cha SAA YA UKOMBOZI kupitia STAR TV.

03/05/2026
MERRY CHRISMAS AND HAPPY NEW YEAR 2026 USIPANGE KUKOSA IBADA YA CHRISMAS TAREHE 25/12/2025 KANISA LA UKOMBOZI MBEZI KWAN...
23/12/2025

MERRY CHRISMAS AND HAPPY NEW YEAR 2026
USIPANGE KUKOSA IBADA YA CHRISMAS TAREHE 25/12/2025 KANISA LA UKOMBOZI MBEZI KWANZA (NYUMBA YA UPONYAJI NA MAJIBU )
NJOO UPOKEE NGUVU YA KUMALIZA MWAKA 2025 KWA USHINDI TUTAKULA,KUNYWA,KUIMBA NA KUFURAHI KWA PAMOJA NI SIKU YA SHANGWE NA FURAHU NA SHUKURANI KUMRUDISHIA MUNGU UTUKUFU WAALIKE WENGI ZAIDI UTABARIKIWA SANA!

Siyo ya kukosa ni kesho jumapili tarehe 29/6/2025 Hautajuta kufika.
28/06/2025

Siyo ya kukosa ni kesho jumapili tarehe 29/6/2025 Hautajuta kufika.

20/05/2025

Karibu kwa maombezi na ushauri wa kiroho KANISA LA UKOMBOZI MBEZI KWANZA ( Nyumba ya UPONYAJI na MAJIBU) au tuma maombi yako na sadaka kupitia Vodacom namba +255 759665544,+255763906014 ,Yash mix tigo +255774800888 name will appear Gaudiouse Prosper Mgusa ( Pastor Fichua is a prophetic name)
Contact us Ukombozi church MBEZI KWANZA Pastor Fichua for healing and prophetic deliverance connect by sending your offering through Vodacom +255759665544,+255763906014 and tigo pesa +255774800888 God bless you.
Hoping to see or hear from you soon

Hautajuta kufika itakuwa moto 🔥 na full shangwe
28/12/2024

Hautajuta kufika itakuwa moto 🔥 na full shangwe

06/12/2024

Ni usiku wa vita kutetea ,kupigania,kukomboa nyota na HATIMA yako. Ni majira ya Nyota yako kung'aa. Njoo na chumvi utaombewa nguvu ya Kibali maisha yako yawe na radha leo Ijumaa tarehe 6/12/2024 KANISA LA UKOMBOZI MBEZI KWANZA kuanzia saa 3 usiku. Wajulishe wengine wengi utabarikiwa sana . Usipange kukosa MKESHA huu hautajuta kufika.

19/11/2024

Tarehe 24/11/2024 jumapili tutakusanyika,tutaabudu,tutasifu,tutarukaruka,tutafurahi,tutashangilia,tunamshukuru Mungu kwa matendo yake kwetu hapa KANISA LA UKOMBOZI MBEZI KWANZA kuanzia saa 4 asubuhi. Siyo ya kukosa mjulishe na mwenzako utabarikiwa sana

09/11/2024

Usipange kukosa ibada maalumu ya Kufunguliwa Hatua ni maombi ya upenyo na kupokea neema ya mafanikio kesho jumapili tarehe 10/11/2024 KANISA LA UKOMBOZI MBEZI KWANZA kuanzia saa 3 asubuhi. Walete wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa na kuwekwa huru. Kufika kanisani tupigie 0759665544/0774800888

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255756665544

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ukombozi Healing and Deliverance Centre Mbezi Mwisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share