Southern Tanzania Union Mission

Southern Tanzania Union Mission Southern Tanzania Union Mission ni Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania la Waadventista wa Sabato. Makao yake makuu ni Mbweni, Dar es Salaam.

Uzinduzi wa Sauti Moja27 Katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni.
05/09/2026

Uzinduzi wa Sauti Moja27 Katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni.

05/09/2026

Uzinduzi wa Sauti Moja27

Sabato Karudi Tena
05/09/2026

Sabato Karudi Tena

Hakuna kilicho na nguvu k**a sauti zetu zinapoungana kwa lengo moja. Utume unaanza, tukibeba ujumbe mmoja mkuu wa matuma...
05/09/2026

Hakuna kilicho na nguvu k**a sauti zetu zinapoungana kwa lengo moja. Utume unaanza, tukibeba ujumbe mmoja mkuu wa matumaini utakaosikika kwa sauti zote, ili kufikia kila jamii. Popote ulipo, ujumbe huu ni kwa ajili yako. Karibu tuanze hatua hii pamoja.

05/09/2026

Machozi yako hayaendi bure.
Katika mapito magumu, ni rahisi kupoteza tumaini. Lakini ushuhuda huu ni uthibitisho tosha kuwa haijalishi mambo yanaonekana kuwa magumu kiasi gani, Mungu hurejesha furaha na tumaini jipya.

Sikuzote anasikia tumuombapo, na majibu yake ni ya uhakika.

05/09/2026

GENERATION LIGHTMODE

Karibu katika kituo cha Maudhui, karibu tutengeneze na kusambaza tumaini la Yesu kila mahali kwani kuna roho kupitia maudhui (Content) yako;
Angaza nuru yako kwa ajili ya Kristo;

Tembelea sasa kupitia kiunganishi hiki:- https://lightmode.ecd.adventist.org/Feed

05/09/2026

Viongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Divisheni ya Mashariki-Kati mwa Afrika wakitoa ujumbe katika uzinduzi wa Sauti Moja27.

Wewe, mimi, sote tuna sauti ya kulitangaza Neno la Mungu.

Tukiungana k**a familia moja, tukiwa na misheni moja na sauti moja tunaweza kufikisha ujumbe wa tumaini kwa watu wengi zaidi.

05/09/2026
Sabato Njema
04/09/2026

Sabato Njema

Kesho ni uzinduzi! Shiriki ukumbusho huu wa mwisho na jiandae kupost.
04/09/2026

Kesho ni uzinduzi! Shiriki ukumbusho huu wa mwisho na jiandae kupost.

Address

Mbweni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

0756075004

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Southern Tanzania Union Mission posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share