Efatha YERUSALEMU-Mwenge

Efatha YERUSALEMU-Mwenge Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Efatha YERUSALEMU-Mwenge, Pentecostal Church, Yerusalemu, Mwenge, Dar es Salaam.

05/09/2026
*KUMTUMIKIA MUNGU*Tunapotaka kumtumikia Mungu, haitokani na jukumu hilo kuwa linaonekana bali hutokana na Uaminifu wa mo...
04/09/2026

*KUMTUMIKIA MUNGU*

Tunapotaka kumtumikia Mungu, haitokani na jukumu hilo kuwa linaonekana bali hutokana na Uaminifu wa moyo wako katika KUTII.

Wanadamu huangalia kwa Nje lakini Mungu hutazama Moyo. 1Sam 16:7b

Acha Nia yako iwe safi daima.

Kuna Mtu akiagizwa atoe mchango Kwa sababu ni mbele za watu pale Kanisani atatoa; huku Askofu au Mchungaji akisema toa kiasi hicho tujenge Yerusalemu au tuchangie Chakula n.k anagomaπŸ€”πŸ€”.

√ Je moyo wako ni safi Daima.

√ Ukipewa Jukumu mbele za watu wengi unalikubali, huku Eneo , Zoni au Seli ukipangiwa hutaki!

√ Je kote si unamtumikia Mungu yule yule au?.

*KUMBUKA KUWA SAFI DAIMA KATIKA NIA YAKO: MUNGU HUANGALIA MOYO*

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»**BWANA ATAWEKA WIMBO MPYA KINYWANI MWAKO*Zaburi 40:1-3[1] Nalimngoja BWANA kwa saburi, Akaniinamia...
04/09/2026

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»*

*BWANA ATAWEKA WIMBO MPYA KINYWANI MWAKO*

Zaburi 40:1-3
[1] Nalimngoja BWANA kwa saburi, Akaniinamia akakisikia kilio changu.

[2] Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.

[3] Akatia wimbo mpya kinywani mwangu, Ndio sifa zake Mungu wetu. Wengi wataona na kuogopa, Nao watamtumaini BWANA

IJUMAA YAKO IMEBARIKIWA NA BWANA

02/09/2026

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»*

*AGIZO LA KUTUMIKIA WENGINE KWA UAMINIFU*

1 Petro 4:10-11
[10] kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; k**a mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.

[11] Mtu akisema, na aseme k**a mausia ya Mungu; mtu akihudumu, na ahudumu kwa nguvu anazojaliwa na Mungu; ili Mungu atukuzwe katika mambo yote kwa Yesu Kristo. Utukufu na uweza una yeye hata milele na milele. Amina.

JUMATANO YAKO IMEBARIKIWA NA BWANA

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»**WITO WA KUPANDA NA KUVUNA*Matthew 28:19-20[19] Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanaf...
01/09/2026

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»*

*WITO WA KUPANDA NA KUVUNA*

Matthew 28:19-20
[19] Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

[20] na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

JUMANNE YAKO IMEBARIKIWA NA BWANA

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»**KANUNI YA KUPANDA NA KUVUNA**Wagalatia 6:7-9*[7] Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho c...
31/08/2026

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»*

*KANUNI YA KUPANDA NA KUVUNA*

*Wagalatia 6:7-9*
[7] Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

[8] kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele
[9] Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.

JUMATATU YAKO IMEBARIKIWA NA BWANA

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»**MAOMBI YA BARAKA YA KUWEZESHA MAONO YAKO* Psalms 67:1-3[1] Mungu na atufadhili na kutubariki, Na ...
28/08/2026

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»*

*MAOMBI YA BARAKA YA KUWEZESHA MAONO YAKO*

Psalms 67:1-3
[1] Mungu na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake.

[2] Njia yake ijulike duniani, Wokovu wake katikati ya mataifa yote.

[3] Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»**MUUNGANIKO WA WITO MKUU NA NGUVU* *Yohana 20:21-22*[21]  Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwe...
27/08/2026

*AMKA NA BWANA πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»*

*MUUNGANIKO WA WITO MKUU NA NGUVU*

*Yohana 20:21-22*
[21] Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwenu; k**a Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi.

[22] Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.

ALHAMISI YAKO IMEBARIKIWA NA BWANA

Address

Yerusalemu, Mwenge
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255689915460

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha YERUSALEMU-Mwenge posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share