21/05/2023
*NOW(NATURE OF WORSHIP) DAR ES SALAAM* 💥
Mungu ametupa Neema tena ya kua na ibada hii nzuri, awamu ya tatu kwa mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake. Tarehe 07 mwezi wa saba, sikukuu ya Saba Saba kuanzia saa kumi (10) kamili jioni hadi saa nne(4) usiku, mahali ni KIBADA GARDEN , KIGAMBONI KIBADA. Tutakua na muda mwingi wa kumsifu na kumuabudu Mungu wetu kwa njia ya Nyimbo pamoja na watumishi wengine wa Mungu. Theme yetu kwa awamu hii ni *GOD OF ANSWERS(MUNGU WA MAJIBU)*