EAGT-Uzima tele Msakuzi

EAGT-Uzima tele Msakuzi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from EAGT-Uzima tele Msakuzi, Religious organisation, Mbezi-Msakuzi, Dar es Salaam.

Kanisa la EAGT uzimatele Msakuzi ni moja ya makanisa ya Evangelistic Assemblies of God Tanzania(EAGT) lililoko maeneo ya Mbezi-Msakuzi, Konoike road karibu na ofisi za mtaa wa Msakuzi Kusini, wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam

09/10/2018

Injili mtaani-EAGT Uzima tele

30/09/2018
Wapendwa katika Bwana,Amani ya Bwana wetu Yesu kristo iwe nanyi,tunashukuru kwa kutembelea ukurasa wetu wa facebook,tuna...
28/03/2018

Wapendwa katika Bwana,Amani ya Bwana wetu Yesu kristo iwe nanyi,tunashukuru kwa kutembelea ukurasa wetu wa facebook,tunatarajia kuwa tunaleta masomo mengi zaidi ili kujengana katika ufahamu wa Mungu na njia zake.Pia tunakuomba utembembelee ukurasa wetu wa you tube tunakuomba usisahau kusubscribe tunahitaji tufikishe walau subscribers 100,kuna kitu tunataka kuboresha ila haiwezekani mpaka idadi ya subscriber kwenye you tube channel yetu ifikie 100,tembelea youtube channel yetu address ni https://www.youtube.com/channel/UCjf_Mt-VQQ7OyiNNEQ3kSzA .Mungu akubariki

Kanisa la EAGT uzima tele ni moja ya makanisa ya EAGT Tanzania lililoko maeneo ya Mbezi-Msakuzi,Dar es Salaam.Kanisa huili liko chini ya Mchungaji John D. Nd...

25/03/2018

Mafunzo kwa ajiri ya waongofu wapya katika ibada ya shule ya jumapili EAGT Uzimatele Msakuzi..Mtumishi wa Mungu Mchungaji .John Ndunguru ndiye anayefundisha.Karibu EAGT Uzimatele somo hili bado linaendelea

25/03/2018

Katika ibada ya sifa na kuabudu leo EAGT uzimatele

25/03/2018

Mafunzo kwa ajiri ya waongofu wapya katika ibada ya shule ya jumapili EAGT Uzimatele Msakuzi..Mtumishi wa Mungu Mchungaji .John Ndunguru ndiye anayefundisha.Karibu EAGT Uzimatele somo hili bado linaendelea

25/03/2018

Mafunzo kwa ajiri ya waongofu wapya katika ibada ya shule ya jumapili EAGT Uzimatele Msakuzi..Mtumishi wa Mungu Mchungaji .John Ndunguru ndiye anayefundisha.Karibu EAGT Uzimatele somo hili bado linaendelea

22/03/2018
Efeso 6:10-18Soma kwa kutafakari na angalia picha inayojaribu kuelezea andiko hilo,unapokuwa vitani kuna silaha za kusha...
21/03/2018

Efeso 6:10-18
Soma kwa kutafakari na angalia picha inayojaribu kuelezea andiko hilo,unapokuwa vitani kuna silaha za kushambulia na za kujilinda na mashambulizi,zitambue silaha hizo na Mungu akubariki.

19/03/2018

Wakatu wa Ibada ya sifa na kuabudu Jumapili 18March 2018 kanisani EAGT Uzima tele Msakuzi

19/03/2018

Katika Ibada ya sifa EAGT Uzimatele,jumapili 18March2018

Address

Mbezi-Msakuzi
Dar Es Salaam
9463

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT-Uzima tele Msakuzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to EAGT-Uzima tele Msakuzi:

Share