El Ghulam Islamic Studies

El Ghulam Islamic Studies Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from El Ghulam Islamic Studies, Religious organisation, Dar es Salaam.

26/04/2024

VIJANA
30/03/2024

VIJANA

"Hakika wanaume wanaotoa Sadaka na wanawake wanaotoa sadaka, ambao wamemkopesha Mwenyezi Mungu mkopo wa haki, watazidish...
28/03/2024

"Hakika wanaume wanaotoa Sadaka na wanawake wanaotoa sadaka, ambao wamemkopesha Mwenyezi Mungu mkopo wa haki, watazidishiwa maradufu, na watapata malipo ya ukarimu."
Quran: Al-Hadid (57:18)


Happy Birthday Ukhty Roukhy Hussein, Allah (S.W) akujaalie kila la heri inshaallah
28/03/2024

Happy Birthday Ukhty Roukhy Hussein, Allah (S.W) akujaalie kila la heri inshaallah

"Enyi mlio amini! Toeni katika mema mliyo yachuma, na katika yale tuliyo kutolea katika ardhi. Wala msichague vitu duni ...
25/03/2024

"Enyi mlio amini! Toeni katika mema mliyo yachuma, na katika yale tuliyo kutolea katika ardhi. Wala msichague vitu duni kwa kutoa, na hali nyinyi wenyewe hamkukubali isipokuwa kwa macho. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu anatosha na ni Msifiwa."
Quran: Al-Baqara (2:267)



In the name of Allah the most high and mercifulQuran: Al-Jumu'a  (62:9) O you who believe! When the call is made for pra...
13/01/2023

In the name of Allah the most high and merciful

Quran: Al-Jumu'a (62:9)

O you who believe! When the call is made for prayer on Congregation Day, hasten to the remembrance of Allah, and drop all business. That is better for you, if you only knew.

Enyi mlio amini! Inapoitishwa maombi ya Siku ya Mkusanyiko, basi fanyeni hima kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, na acheni mambo yote. Hayo ni bora kwenu ikiwa mnajua.

Jumaa Qareem

Assalaam aleykum ndugu zetu katika iiman,Leo ni siku muhimu sana kwa ndugu wote wa El Ghulam Islamic Studies, ikiwa ni k...
12/12/2018

Assalaam aleykum ndugu zetu katika iiman,
Leo ni siku muhimu sana kwa ndugu wote wa El Ghulam Islamic Studies, ikiwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya Mwenyekiti wa Taasisi yetu hii tukufu, Allah (S.W) amjaalie iimani thabiti ili aweze kudumu katika kutetea maslahi ya dini yetu tukufu.

Neno moja la kumuombea baraka kwake

Haikugharimu chochote kwa kufanya tabasamu usoni mwako, kwani tabasamu la usoni huondoa huzuni moyoni, pia ni Sunna ya m...
22/09/2018

Haikugharimu chochote kwa kufanya tabasamu usoni mwako, kwani tabasamu la usoni huondoa huzuni moyoni, pia ni Sunna ya mtume amini.
Team Tabasamu watakuepo mitaa ya rangi 3 mtaa wa Ghana wakikutana na Nahdhwa Madrasa kutoka Mtongani kuanzia majira ya saa 3 Usiku hadi asubuhi, Karibuni tumswalie kiongoz wa Umma ulio mtukufu.

El Ghulam Islamic Studies
Elimu kwanza

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when El Ghulam Islamic Studies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share