Ebenezer Evangelical Choir

Ebenezer Evangelical Choir Kumsifu na kumwabudu Mungu Mlima wa Matumaini

16/05/2017

Twakabudu Bwana maana wewe Unastahili.
We worship you or Lord because you are worthy.

08/05/2017

Tunapenda kuwashukuru wapendwa wote mliotuma friend requests kwenye account yetu ya facebook. Tunawataarifu kuwa tumeshindwa kuwaunga kwa sababu tayari idadi ya watu 5,000 imeshatimia, lakini unaweza kujiunga na Ebenezer kwaya kwa ku like page yetu hii tu bila kutuma ombi lolote. Karibuni sana na Mungu Awabariki wote

04/05/2017
02/05/2017

Tazama wewe ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili, je kuna jambo gumu lolote usiloliweza? Ebenezer Choir tunasema Hakuna. Mbarikiwe na ujumbe huo marafiki wote wa Ebenezer Evangelical Choir.

27/04/2017

Inua machomtazame Yesu tu, wamisri uwaonao leo hautawaona tena.

17/01/2017

Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.

26/09/2016
26/09/2016
12/08/2016

Tunawakaribisha wote kwenye uzinduzi wa album yetu ya kwanza pale kanisani kwetu siku ya tarehe 28/08/2016 katika ibada inayoanza saa 1:00 kamili na baadaye kutakuwa na tamasha kubwa litakaloanza saa nane kamili mchana. Karibuni wote

Tunawakaribisha wote kwenye uzinduzi wa album yetu ya kwanza pale kanisani kwetu siku ya tarehe 28/08/2016 katika ibada ...
12/08/2016

Tunawakaribisha wote kwenye uzinduzi wa album yetu ya kwanza pale kanisani kwetu siku ya tarehe 28/08/2016 katika ibada inayoanza saa 1:00 kamili na baadaye kutakuwa na tamasha kubwa litakaloanza saa nane kamili mchana. Karibuni wote

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0657261434

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ebenezer Evangelical Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share