EAGT Segerea

EAGT Segerea KARIBU IBADANI
Jumatano Saa 4:00-6:00Pm
Ijumaa Saa 4:00-6:00Pm
Jumapili Saa 7:00 Am-12:30Pm

Bwana Yesu asifiwe. Leo tunaendelea, leo na kesho nawewe uliyekosa siku za nyuma jitahidi uwepo na kwa kuwahi kabisa. Ba...
23/05/2026

Bwana Yesu asifiwe. Leo tunaendelea, leo na kesho nawewe uliyekosa siku za nyuma jitahidi uwepo na kwa kuwahi kabisa. Barikiwa

Haleluya Haleluya Ni wakati mwingine tena wa Bwana kusema nasi, njoo wewe na rafiki yako.Bila Roho Mtakatifu haiwezekani...
16/05/2026

Haleluya Haleluya
Ni wakati mwingine tena wa Bwana kusema nasi, njoo wewe na rafiki yako.
Bila Roho Mtakatifu haiwezekani kumpendeza Mungu
Bila Roho Mtakatifu ni ngumu kushinda dhambi na udanganyifu wowote katika dunia hii
Pamoja na Roho Mtakatifu inawezekana kushinda na kumpendeza Mungu
KARIBU KARIBU
🔥 🔥

Bwana Yesu asifiwe. Andika kwenye comment somo ulipatalo katika habari hiyo
12/05/2026

Bwana Yesu asifiwe. Andika kwenye comment somo ulipatalo katika habari hiyo

Haleluya, ni wakati wa kusifu, kuabudu na kulitukuza jina la Bwana. Ni jumapili hii 03-05-2026 kanisani EAGT SEGEREA. Ka...
29/04/2026

Haleluya, ni wakati wa kusifu, kuabudu na kulitukuza jina la Bwana. Ni jumapili hii 03-05-2026 kanisani EAGT SEGEREA. Karibu sana mtu wa Mungu

Kesho ni ibada karibu kanisani EAGT JEHOVAH SHAMMAH SEGEREA, MUNGU akubariki
25/04/2026

Kesho ni ibada karibu kanisani EAGT JEHOVAH SHAMMAH SEGEREA, MUNGU akubariki

Leo ilikuwa ni jumapili njema ambayo Jimmy na Happyness wameanza safari ya kuelekea ndoa.Mungu ni mwema, ametenda kwa uk...
19/04/2026

Leo ilikuwa ni jumapili njema ambayo Jimmy na Happyness wameanza safari ya kuelekea ndoa.
Mungu ni mwema, ametenda kwa ukuu

18/04/2026

Bwana Yesu asifiwe, unaendeleaje mtu wa Mungu? Napenda kukukaribisha kesho kanisani EAGT SEGEREA Sote kwa pamoja tumtukuze Mungu wetu aliye hai. K**a hupafahamu kanisani tuwasiliane kwa namba iliyo kwenye tangazo
KARIBU KARIBU

13/04/2026

Hakika hakuna k**a Mungu wetu asiyeshindwa, asiyelala wala kuchoka.
Mbarikiwe Praise team EAGT Segerea

Karibu nyumbani mwa Bwana, ni ijumaa ya wiki hii
08/04/2026

Karibu nyumbani mwa Bwana, ni ijumaa ya wiki hii

Ni kuanzia leo Mungu akupe neema ya kuhudhuria.
30/03/2026

Ni kuanzia leo Mungu akupe neema ya kuhudhuria.

Address

Tabata Segerea Mwisho
Dar Es Salaam

Telephone

+255672004765

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Segerea posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share